Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
sio company moja aina tofauti.......?.....mnanichanganya mjue.........
Ndiyo ukubwa kuchanganywa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio company moja aina tofauti.......?.....mnanichanganya mjue.........
hahahahaha!!!! Seriously????Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
hahahahaha!!!! Seriously????
..............I wish kujua zaid kwa sababu navyojua mimi cummis ni Engine inafungwa kwa scania 124 (420) inakuwa na pump ya umeme very powerful and high speed monster!!!!!
Hii ya Yutong nifahamishe mkuu
Na bila kusahau Majenereta mkuu jamaa hawakamatiki
Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo..:clap2:Vp mbona unacheka sana
Malizeni mjadala then tupambanishe Zhongtong na Yutong...The crash of brothers!
sio company moja aina tofauti.......?.....mnanichanganya mjue.........
Living proof angalia Scania Marcopolo za Abood Dar Moro. Miaka nenda rudi kama za jana vile.
Mabasi mengi ya yutong na
mengine ya kichina mda huu wameamua kuweka engine za scania kutokana na
ushindani wa abiria hasa wa muda. Watanzania hawataki kushinda
barabarani jambo ambalo kwa mwendo wa yutong hauwezi kuendana na
scania
Malizeni mjadala then tupambanishe Zhongtong na Yutong...The crash of brothers!
Mwambie azipeleke safari ndefu uone