Yutong na Scania

Matajiri hununua YUTONG kwa sababu bei yake poa, ni nusu ya bei ya SCANIA. Wanaponunua YUTONG hubadilisha 'diff' na 'rejeta' na 'injekta pampu' . Hung'oa na kuweka za SCANIA ili kulifanya basi kuhimili mikikimikiki barabarani. Kwa hapa nchini SCANIA haina mpinzani. Tatizo kipindi cha nyuma bodi za SCANIA zilikuwa zinatengenezwa Vingunguti, ubora wake ulikuwa mdogo. Siku hizi zinatoka nje ya nchi moja kwa moja. Kwa upande wa MARCOPOLO hiyo ni kampuni ya kutengeneza mabodi ya mabasi. Injini inaweza kuwa ya mercedes benz,scania,man,daf,volvo n.k. Nadhani nimeeleweka.
 
Siku zote bure agali na biashara iliupate faida lazima uweke mtaji, then fuel consumption iliyotoa mdau litre 600 dar-mbeya scania hiyo ni 113 series ambayo siyo orijino bus na ni industry engine orijino bus ni electronic engine less fuel more air and electric zina kuwa 94 series au 114 series
 
Kutokana na ushindani Wa kibiashara ya kusafirisha abiria imebainika scania wameibuka washindi hasa kwa mwendo na durability hasa kwa safari za mbali,km dsm to mby,dsm to Mt.tulichangie wadau.

mi atakaye niambia bus za mgamba barabara ya arusha-mwz kama ni yutong au scania ndo ntajua kati ya hzo yupi ni mkali
 
Aaah sana
Wakuu kuna kitu wtau wanachanganya hapa, IRIZA, MARCORPOLO zote ni scania lakini hii inwakilisha Body desinged, haina uhusinano wowote na ingine dissgned mechanic engineering, etc. Durability mnayozungunzia hapa ni ya body au Engine? Kama ni Ingene Scania ni baba lao.
 
Marcopollo ni watengenezaji wa
body za mabasi. Iwe tata,
scania au Benz, wao kazi yao
ni kujenga body tu. Yutong vs
Scania? Scania wins



FrancisMengi ata yutong ni watengenezaji wa body injin si zao
 
Mabasi yote ya mchina yanatisha yakiwmapya,zaidi ya mwaka mmoja yanakuwa nyanya.scania inatisha mazee!,juzi nilipanda scania ya Mbeya to dar,inaitwa NGANGA hiyo n balaa hakuna Cha mchina yeyote alie tufuata kwa karibu
Kuna ile Scania ya Majinjah Dar-Sumbawanga ile ni noma aisee,nadhani njia nzima ya Mbeya hana mpinzani kwa mwendo. Unatoka Dar saa12 asubuhi unafika Sumbawanga saa6 usiku.
 
Scania zinalipa. Umeona Marcopolo Andare Class za Hood na Abood?? Zina zaidi ya miaka kumi na bado hazikamatiki. Tafuta Yutong au Shuchi yenye umri huo uone kituko.
Na Scania Kama zingekuwa hazilipi nadhani Mremi wa Dar Express angekuwa ameshafunga biashara siku nyingi sana,maana yeye tangu aanze biashara ya usafirishaji Mabasi yake ni Scania tuu hana huo uchafu wa Kichina hata mmoja.
 
 
Mkuu kwa barabara ya Dar-Mbeya ni Yutong tu wengine wanafuta...
kuna new fors na super feo, Scania wanalia tu hapo.!!
new force hana yutong hata moja yeye ni zhongTong,superfeo ana yutong na higer
 
bado sana huyo kuna kipisi cha newforce na golden deer pamoja na ilasi huyo majinja anagonga matako ya wenzie tu
Una uhakika na haya usemayo na ushawahi panda Majinjah?nishapanda hiyo Newforce ya Tunduma na Kyela bado sijaona ni vipi anamkalisha Majinjah.
 
mkuu utaniua kwa kucheka halafu niko kwenye watu wengi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wengine humu hawajui kulinganisha vitu,Scania ni sawa na iPhone na Yutong ni kama Techno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…