New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
shabiby ndo iliua sio zainabzainabs zilifungiwa baada ya kuuwa watu 52 pale luhimba mpakani mwa mkoa wa njombe na ruvuma kuna makaburi ya ukombusho pale toka afutwe na sumatra akavua bodi za basi na kubaki lori za mizigo na kwa kuwa alikua akifukuzana na shabiby wao wakafungiw ruti ya ruvuma
Mkuu angalia hizo engine ulizotaja ni toleo la mwaka gani pia na still zitaendelea mchina atatoka atakuja mwingine hizo engine zipo toka enzi za mwanamboka 113 wewe leo unakuja kuzungumza nini hapa...ndio maana nimeuliza maana najua mghamba kafunga injini za
113 na kibo ni 94D hapo hakuna basi ni malori kaangalie zhongtong zinavyopelekana na scania f95-310 route ya dar_Tunduma au Mbeya _Arusha
isanga ni injini za malori kumbuka hizo sio za mabasi kaangalie injini za mabasi kwa hood saizi zimekuwa vyuma chakavu au kwa dar express kwenye zile irizar walishatoa injini wakafunga za maloriMkuu angalia hizo engine ulizotaja ni toleo la mwaka gani pia na still zitaendelea mchina atatoka atakuja mwingine hizo engine zipo toka enzi za mwanamboka 113 wewe leo unakuja kuzungumza nini hapa...
Kakondele hilo sipingi nipo pamoja nawe ninachozungumza hizo za maroli wanazofunga sio matoleo ya sasa hivi na pia hata kama za zamani ubora utakua umepungua..,Scania wana Engine bora sana mkuu wala usipinge hilo hata katika Meli za mizigo engine zinazofungwa ni CAT,Scania,Mercedes,Volvo na Man Diesel hawa jamaa ni shida mkuu, Actross katoa Truck automatic/manual katika mlima likiwa linapanda linasoma katika dashboard gear inayotakiwa kuingiza kila linapopanda Mkuu hao jamaa usiwabeze au kuwashindanisha na kitu kingine ni zaidi ya unavyofikiri..isanga ni injini za malori kumbuka hizo sio za mabasi kaangalie injini za mabasi kwa hood saizi zimekuwa vyuma chakavu au kwa dar express kwenye zile irizar walishatoa injini wakafunga za malori
wanachokifanya hizo injini za malori zinafanyiwa overhaul na kufungwa vitu vipya ndio mashine inafungwa kwenye basiKakondele hilo sipingi nipo pamoja nawe ninachozungumza hizo za maroli wanazofunga sio matoleo ya sasa hivi na pia hata kama za zamani ubora utakua umepungua..,Scania wana Engine bora sana mkuu wala usipinge hilo hata katika Meli za mizigo engine zinazofungwa ni CAT,Scania,Mercedes,Volvo na Man Diesel hawa jamaa ni shida mkuu, Actross katoa Truck automatic/manual katika mlima likiwa linapanda linasoma katika dashboard gear inayotakiwa kuingiza kila linapopanda Mkuu hao jamaa usiwabeze au kuwashindanisha na kitu kingine ni zaidi ya unavyofikiri..
Mkuu ufanye overhaul kwa engine ya 1987 na engine ya 2015 hiyo hiyo Scania unafanyaji kazi utakua sawa ingawaje kule umeweka vitu vipya?wanachokifanya hizo injini za malori zinafanyiwa overhaul na kufungwa vitu vipya ndio mashine inafungwa kwenye basi
injini gani hiyo ya scania ni ya mwaka 82 ilihali scania 82 saizi hazitumiki kwa hapa tz na kama hujui scania nyingi zinazotumika katika mabasi wanalazimika kuwchokonoa pampuMkuu ufanye overhaul kwa engine ya 1987 na engine ya 2015 hiyo hiyo Scania unafanyaji kazi utakua sawa ingawaje kule umeweka vitu vipya?
scania hawatengenezi body za mabasi wao wanatengeneza chassis tu za mabasi ikiwa na injini,diff,gearbox na vitu vingine vinavyofanya gari liweze kutembea lakini kuna gari inaitwa scania touring ambayo scania wameshairikiana na higer kuitengenezainjini gani hiyo ya scania ni ya mwaka 82 ilihali scania 82 saizi hazitumiki kwa hapa tz na kama hujui scania nyingi zinazotumika katika mabasi wanalazimika kuwchokonoa pampu
Scania wakitengeneza bus wanasahahu kuwa binadamu wanaohitaji ku relax na mazingira mazuri ya kusafiria ndio watazitumia. Ni kweli ni imara na yanadumu lakini ndani kwenye ubora wa siti, na makorombwezo mengine yatakayokufanya usafiri kwa raha hawayafikii magari ya kichina.
113 na 143 ni engine za miaka ya 1987 mkuu usibishe tuu hata kama wakitoa katika lori ni la miaka hiyo.., walishaacha kutoa Scania engine hizo ila spare zinatokainjini gani hiyo ya scania ni ya mwaka 82 ilihali scania 82 saizi hazitumiki kwa hapa tz na kama hujui scania nyingi zinazotumika katika mabasi wanalazimika kuwchokonoa pampu
ahahaha mkuu ndio maana nimesema mtu akinunua mashine ya 113 lazima aaipige overhaul na linerkit mpya ndio iende ikakae kwenye basi hapo inakuwa sawa na injini mpya tu113 na 143 ni engine za miaka ya 1987 mkuu usibishe tuu hata kama wakitoa katika lori ni la miaka hiyo.., walishaacha kutoa Scania engine hizo ila spare zinatoka
hii ni inachassis ya scania f95_310 linapiston tano euro iii3 emissionengine +chassis ni za scania ila body by Dar Coach
hii ni inachassis ya scania f95_310 linapiston tano euro iii3 emission
Jiongeze basi kidogo mkuu.Hapa umemaliza ubishi,labda sasa niulize humo ndani ya haya mabasi kuna nini ............. ??
huko ndani wametumia material za kichina kama unavyoona kwenye hii picha ndio ilivyo ndani Ac,friji,reclying seatsPerformance yake iko vzuri ila uko ndani hawajamkuta mchina
Zongtong na Higer zinaonekana luxurious sana lakini hamna kitu.habari ya mjini sio yutong..kwasasa ni zhongtong na higer