Kakondele hilo sipingi nipo pamoja nawe ninachozungumza hizo za maroli wanazofunga sio matoleo ya sasa hivi na pia hata kama za zamani ubora utakua umepungua..,Scania wana Engine bora sana mkuu wala usipinge hilo hata katika Meli za mizigo engine zinazofungwa ni CAT,Scania,Mercedes,Volvo na Man Diesel hawa jamaa ni shida mkuu, Actross katoa Truck automatic/manual katika mlima likiwa linapanda linasoma katika dashboard gear inayotakiwa kuingiza kila linapopanda Mkuu hao jamaa usiwabeze au kuwashindanisha na kitu kingine ni zaidi ya unavyofikiri..