Yutong/zongtong/Higer and scania buses

Yutong/zongtong/Higer and scania buses

zainabs zilifungiwa baada ya kuuwa watu 52 pale luhimba mpakani mwa mkoa wa njombe na ruvuma kuna makaburi ya ukombusho pale toka afutwe na sumatra akavua bodi za basi na kubaki lori za mizigo na kwa kuwa alikua akifukuzana na shabiby wao wakafungiw ruti ya ruvuma
shabiby ndo iliua sio zainab
 
Kwa ujumla Mchina ndiyo kwanza anaijenga teknolojia yake lakini bado. Uimara na usalama kwa vyombo vya mchina bado sana. Iwe ni pikipiki, magari, vifaa vya umeme na hata vya ujenzi, Mchina anapiga hatua lakini bado sana. Kuna wakati nilinunua floor tiles za China ambazo niliambiwa na muuzaji kuwa ndiyo best quality ya Mchina, baada ya mwaka nililazimika kuziondoa zote. Watoto walianguka mara kwa kwa mara kwa kuteleza, baadaye akaanguka mzazi wangu, nikaona nafuga janga ndani ya nyumba yangu, nikazitoa.

Watu wengi hawajui kuwa China karibia teknolojia zote kubwa inazinunua toka nchi za Ulaya. Si rahisi sana kumzidi au kumfikia kwa haraka mwenye teknolojia asilia.
 
ndio maana nimeuliza maana najua mghamba kafunga injini za
113 na kibo ni 94D hapo hakuna basi ni malori kaangalie zhongtong zinavyopelekana na scania f95-310 route ya dar_Tunduma au Mbeya _Arusha
Mkuu angalia hizo engine ulizotaja ni toleo la mwaka gani pia na still zitaendelea mchina atatoka atakuja mwingine hizo engine zipo toka enzi za mwanamboka 113 wewe leo unakuja kuzungumza nini hapa...
 
isanga ni injini za malori kumbuka hizo sio za mabasi kaangalie injini za mabasi kwa hood saizi zimekuwa vyuma chakavu au kwa dar express kwenye zile irizar walishatoa injini wakafunga za malori
 
Kakondele hilo sipingi nipo pamoja nawe ninachozungumza hizo za maroli wanazofunga sio matoleo ya sasa hivi na pia hata kama za zamani ubora utakua umepungua..,Scania wana Engine bora sana mkuu wala usipinge hilo hata katika Meli za mizigo engine zinazofungwa ni CAT,Scania,Mercedes,Volvo na Man Diesel hawa jamaa ni shida mkuu, Actross katoa Truck automatic/manual katika mlima likiwa linapanda linasoma katika dashboard gear inayotakiwa kuingiza kila linapopanda Mkuu hao jamaa usiwabeze au kuwashindanisha na kitu kingine ni zaidi ya unavyofikiri..
 
wanachokifanya hizo injini za malori zinafanyiwa overhaul na kufungwa vitu vipya ndio mashine inafungwa kwenye basi
 
Mkuu ufanye overhaul kwa engine ya 1987 na engine ya 2015 hiyo hiyo Scania unafanyaji kazi utakua sawa ingawaje kule umeweka vitu vipya?
 
Scania wakitengeneza bus wanasahahu kuwa binadamu wanaohitaji ku relax na mazingira mazuri ya kusafiria ndio watazitumia. Ni kweli ni imara na yanadumu lakini ndani kwenye ubora wa siti, na makorombwezo mengine yatakayokufanya usafiri kwa raha hawayafikii magari ya kichina.
 
injini gani hiyo ya scania ni ya mwaka 82 ilihali scania 82 saizi hazitumiki kwa hapa tz na kama hujui scania nyingi zinazotumika katika mabasi wanalazimika kuwchokonoa pampu
 
scania hawatengenezi body za mabasi wao wanatengeneza chassis tu za mabasi ikiwa na injini,diff,gearbox na vitu vingine vinavyofanya gari liweze kutembea lakini kuna gari inaitwa scania touring ambayo scania wameshairikiana na higer kuitengeneza
Scania wakitengeneza bus wanasahahu kuwa binadamu wanaohitaji ku relax na mazingira mazuri ya kusafiria ndio watazitumia. Ni kweli ni imara na yanadumu lakini ndani kwenye ubora wa siti, na makorombwezo mengine yatakayokufanya usafiri kwa raha hawayafikii magari ya kichina.
 
injini gani hiyo ya scania ni ya mwaka 82 ilihali scania 82 saizi hazitumiki kwa hapa tz na kama hujui scania nyingi zinazotumika katika mabasi wanalazimika kuwchokonoa pampu
113 na 143 ni engine za miaka ya 1987 mkuu usibishe tuu hata kama wakitoa katika lori ni la miaka hiyo.., walishaacha kutoa Scania engine hizo ila spare zinatoka
 
ahahaha mkuu ndio maana nimesema mtu akinunua mashine ya 113 lazima aaipige overhaul na linerkit mpya ndio iende ikakae kwenye basi hapo inakuwa sawa na injini mpya tu
 
0b8d6dd760de40391adb418c2dbd903c.jpg
fa28b598c6edbc8428e38a5ef64b0f1c.jpg
engine +chassis ni za scania ila body by Dar Coach
 
Hapa umemaliza ubishi,labda sasa niulize humo ndani ya haya mabasi kuna nini ............. ??
Jiongeze basi kidogo mkuu.
Ingia kwenye mtandao wao utaona full options.
Hadi raha...
 
Sting Scania series ya P zote hazikwami katika tope ila R nyingi ndio zilikua tope ni shida ila kwa sasa Scania nae yupo vizuri ila hamfikii Actross...Kwa maelezo yako kuhusu Actross upo sahihi kabisa...
 
Back
Top Bottom