Yutong/zongtong/Higer and scania buses

ndio maana nimeuliza maana najua mghamba kafunga injini za
113 na kibo ni 94D hapo hakuna basi ni malori kaangalie zhongtong zinavyopelekana na scania f95-310 route ya dar_Tunduma au Mbeya _Arusha
Mghamba wana zhongtong moja tu hapo barabarani inapata shida kweli yan. Scania Mghamba missisipi, sauti ya kamanda, brigedia zina 10 years barabaran lakini bado zina rule road acha kabisa.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mabasi ya New Force ni Yutong?
 
Zile Scania za Buffaro zilikuwa malori yalipachikwa body tu, ila Upendo alikuwa na basi moja refu lenye matairi manne ya mbele tu.
 
Mghamba wana zhongtong moja tu hapo barabarani inapata shida kweli yan. Scania Mghamba missisipi, sauti ya kamanda, brigedia zina 10 years barabaran lakini bado zina rule road acha kabisa.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
hiyo zhongtong ya mghamba imeshafungwa injini ya scania injini ya cummins iliyokuwa humo walishindwa kuipa matunzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…