Hili bus linafanya safari wapi na wapi?huko ndani wametumia material za kichina kama unavyoona kwenye hii picha ndio ilivyo ndani Ac,friji,reclying seats View attachment 390173
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili bus linafanya safari wapi na wapi?huko ndani wametumia material za kichina kama unavyoona kwenye hii picha ndio ilivyo ndani Ac,friji,reclying seats View attachment 390173
Mghamba wana zhongtong moja tu hapo barabarani inapata shida kweli yan. Scania Mghamba missisipi, sauti ya kamanda, brigedia zina 10 years barabaran lakini bado zina rule road acha kabisa.ndio maana nimeuliza maana najua mghamba kafunga injini za
113 na kibo ni 94D hapo hakuna basi ni malori kaangalie zhongtong zinavyopelekana na scania f95-310 route ya dar_Tunduma au Mbeya _Arusha
Hivi mabasi ya New Force ni Yutong?Mwanapropaganda wanavyonunua wanaagiza body brazil ukiwa South Africa then unaenda Scania kununua chasis wao ndio wataunganisha kila kitu mara ya mwisho kwa walio na base Zambia wanadai ni usd 550,000 kwa kila kitu mimi naona ni ghari sana bora upate tuu yutong au used Scania matoleo ya sasa hivi..
zhong na Higer zinazoletwa huku injini yake inakuwa ni cummins lakini inakuwa sio cummins ya daraja la kwanza na gearbox inakuwa sio ZF daraja la kwanzaZongtong na Higer zinaonekana luxurious sana lakini hamna kitu.
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
hiyo zhongtong ya mghamba imeshafungwa injini ya scania injini ya cummins iliyokuwa humo walishindwa kuipa matunzoMghamba wana zhongtong moja tu hapo barabarani inapata shida kweli yan. Scania Mghamba missisipi, sauti ya kamanda, brigedia zina 10 years barabaran lakini bado zina rule road acha kabisa.
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Zhongtong climber na caesarHivi mabasi ya New Force ni Yutong?
ahahaha ile tulikuwa tunaiita mendeZile Scania za Buffaro zilikuwa malori yalipachikwa body tu, ila Upendo alikuwa na basi moja refu lenye matairi manne ya mbele tu.
Zile Scania za Buffaro zilikuwa malori yalipachikwa body tu, ila Upendo alikuwa na basi moja refu lenye matairi manne ya mbele tu.
Sasa hizi scania za bongo c ndo zilizopitwa na wakati. Scania modern zipo South Africa.zhong na Higer zinazoletwa huku injini yake inakuwa ni cummins lakini inakuwa sio cummins ya daraja la kwanza na gearbox inakuwa sio ZF daraja la kwanza
Wachina wanatengeneza vitu legevu. Sasa kama hio Zhongtong ya Mghamba haina hata Mwaka washaibadilihiyo zhongtong ya mghamba imeshafungwa injini ya scania injini ya cummins iliyokuwa humo walishindwa kuipa matunzo
hapana scania f95_310hb na f95_270hb zilizopo hapa tz ni sawa na zilizopo south africa maana chassis ya scania inayotumika south na huku haina tofautiSasa hizi scania za bongo c ndo zilizopitwa na wakati. Scania modern zipo South Africa.
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
tatizo sio mchina tatizo ni mtumiaji hiyo gari ilikaa kwa new force mwaka mzima bila kusumbuaWachina wanatengeneza vitu legevu. Sasa kama hio Zhongtong ya Mghamba haina hata Mwaka washaibadili
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Sasa mwaka mzima mbona Scania au Nissan diesel zinakaa 5+ years bila kusumbua?tatizo sio mchina tatizo ni mtumiaji hiyo gari ilikaa kwa new force mwaka mzima bila kusumbua
Mmezisahau na zile Howo na FotonLeyland CD?
kaka gari ikipewa matunzo itasumbua?? ndenjela anayutong f11 toka 2012 mpaka leo haijawai kuguswa mashineSasa mwaka mzima mbona Scania au Nissan diesel zinakaa 5+ years bila kusumbua?
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Yutong cyo imara bhana. Hata safari ndefu Anglia. Lazima zifunguliwe pale mbele la cvyo zina hatar ya kuungua.kaka gari ikipewa matunzo itasumbua?? ndenjela anayutong f11 toka 2012 mpaka leo haijawai kuguswa mashine
mbona hata scania nazo zinafunuliwaYutong cyo imara bhana. Hata safari ndefu Anglia. Lazima zifunguliwe pale mbele la cvyo zina hatar ya kuungua.
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Very rare. Kwa kweli zhongtong and co have a long way to go jaman.mbona hata scania nazo zinafunuliwa
scania ndio zinaongoza kwa kufunua show na hiyo sio sababu ya kuungua ni kuruhusu upepo uingie kwa wingi ili injini ipoe kwa haraka isipandishe temperature ili iweze kutembea zaidiVery rare. Kwa kweli zhongtong and co have a long way to go jaman.
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app