Yutong/zongtong/Higer and scania buses

Yutong/zongtong/Higer and scania buses

ndio maana nimeuliza maana najua mghamba kafunga injini za
113 na kibo ni 94D hapo hakuna basi ni malori kaangalie zhongtong zinavyopelekana na scania f95-310 route ya dar_Tunduma au Mbeya _Arusha
Mghamba wana zhongtong moja tu hapo barabarani inapata shida kweli yan. Scania Mghamba missisipi, sauti ya kamanda, brigedia zina 10 years barabaran lakini bado zina rule road acha kabisa.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Mwanapropaganda wanavyonunua wanaagiza body brazil ukiwa South Africa then unaenda Scania kununua chasis wao ndio wataunganisha kila kitu mara ya mwisho kwa walio na base Zambia wanadai ni usd 550,000 kwa kila kitu mimi naona ni ghari sana bora upate tuu yutong au used Scania matoleo ya sasa hivi..
Hivi mabasi ya New Force ni Yutong?
 
Zile Scania za Buffaro zilikuwa malori yalipachikwa body tu, ila Upendo alikuwa na basi moja refu lenye matairi manne ya mbele tu.
 
Mghamba wana zhongtong moja tu hapo barabarani inapata shida kweli yan. Scania Mghamba missisipi, sauti ya kamanda, brigedia zina 10 years barabaran lakini bado zina rule road acha kabisa.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
hiyo zhongtong ya mghamba imeshafungwa injini ya scania injini ya cummins iliyokuwa humo walishindwa kuipa matunzo
 
Very rare. Kwa kweli zhongtong and co have a long way to go jaman.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
scania ndio zinaongoza kwa kufunua show na hiyo sio sababu ya kuungua ni kuruhusu upepo uingie kwa wingi ili injini ipoe kwa haraka isipandishe temperature ili iweze kutembea zaidi
1472540697271.jpg
 
Back
Top Bottom