Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
usifanye mchezo na Leyland CD. Pia Volvo wako vizuri sana. Unazikumbuka basis za Zainabs?Kwa Tanzania(Africa?) hakuna mashine inaiweza scania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usifanye mchezo na Leyland CD. Pia Volvo wako vizuri sana. Unazikumbuka basis za Zainabs?Kwa Tanzania(Africa?) hakuna mashine inaiweza scania
Mkuu unaijua mashine inayoitwa Mercedes Benz Actross...
VOLVO ni gari yenye nguvu lakini kwa uimara zinawah kuchokausifanye mchezo na Leyland CD. Pia Volvo wako vizuri sana. Unazikumbuka basis za Zainabs?
Wasafirishaji wa mizigo wengi wanatamani kupata Actross na wanayoyajua ma Truck kama wasomali waliopo msumbiji wao ni Actross tuu wanatushangaa sisi na Scania msomali akija mnadani asipokuta Actross na zipo scania, volvo na man zipo yeye anasema hakuna gari leo na bei ipo juu zaidi ya hayo yote..,
Huko hamna kitu hamfikii scania hata kwa dawa
Leyland CD?VOLVO ni gari yenye nguvu lakini kwa uimara zinawah kuchoka
hapo Mkuu hebu fafanua zaidi v8 zina nini?Higher,yutong na zongtong si gari sabab nitakuja kuelezea nikimaliza kula,scania achana nao kabisa na sasa ni V8
8 cyrinder, V shape 2100 hphapo Mkuu hebu fafanua zaidi v8 zina nini?
usifanye mchezo na Leyland CD. Pia Volvo wako vizuri sana. Unazikumbuka basis za Zainabs?
bora umenena sie abiria tunataka gari quality na mwendo mzuri siyo wakukimbizana kama mtoa mada anavyosuggestHapa tunaongelea vitu viwili tofauti, nakubali kwamba kwa uimara na umathubuti, Scania hana mpinzani lakini hicho kinazifanya ziwe na bei ya juu sana kwa wafanya biashara. Mchina amekuja na gari zake zenye kila aina ya anachohitaji abiria nikimaanisha comfortability na anasa zote. Juzi nimepanda moja wameweka hadi USB port unacharge simu yako, haukosekani hewani kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari.
Unaposema Mchina hawakamati akina Scania, weka bayana kwa upande upi, uimara wa gari au soko? Fanya uchunguzi kidogo tu, nenda ubungo stand ya mabasi, angalia kati ya mchina na Benz, Scania mabasi gani mengi?
Higher,yutong na zongtong si gari sabab nitakuja kuelezea nikimaliza kula,scania achana nao kabisa na sasa ni V8
Ok mkuu nimekuelewa kumbe unazungumzia Ubungo nilidhani unazungumzia kwa Nchi zinazobeba mizigo mingi Africa kama South Africa,Zimbabwe, mozambique na Zambia ndio maana mnaipitisha Scania..
Mkuu sio swala la utafiti hapo nikuelekeze kitu kimoja Nchi za kusini mfanyabiara ananunua basi mpya harafu yeye anakodisha kwa wasafirishaji maeneo ya Limpompo unakuta kaburu ana mabasi Scania kama ya ubungo hayo yote tena anakua na yard tatu mpaka tano na wapo wengi...sasa hivi wanachukua za kichina kwa ajili ya Zimbabwe na Zambia, SA hawajazi thibitisha ubora wake kwa matumizi yao kwa sasa ila nadhani wataingia mkuu mimi sipo kubishana hapa na utafiti ufanyike wa dunia au wa Ubungo...?Weka utafiti wako hapa uone market trend ya soko la Scania na Mabasi ya asia uone, unafikiri tunaongea tu mkuu, au kosa imekua kutaja ubungo imekua nongwa?
Mkuu naona basi zimevuta trailer nyuma, ni za nini hizo?View attachment 389802 View attachment 389803 View attachment 389808 View attachment 389802 View attachment 389803 View attachment 389808
Hizi ni Scania za Wazambia wanazitumia SA kwenda Lusaka na Zambia Local Chipata, Livingstone,Kitwe, Nakonde na Kasama haya ni Scania body toleo mapya iriza iq 7 mpaka iq 10 usd 550,000..Kwa hiyo haya ndio mnafanisha na yutong au ni kwa yale ya Ubungo tuu..,
Mkuu hizo treiler ni kwa ajili ya kubeba mzigo wanaopanda humo ni wafanyabiashara kutoka SA mizigo inawekwa nyuma na katika boot ilo treiler linapakia mzigo tani 12.,Mkuu naona basi zimevuta trailer nyuma, ni za nini hizo?
Mkuu sio swala la utafiti hapo nikuelekeze kitu kimoja Nchi za kusini mfanyabiara ananunua basi mpya harafu yeye anakodisha kwa wasafirishaji maeneo ya Limpompo unakuta kaburu ana mabasi Scania kama ya ubungo hayo yote tena anakua na yard tatu mpaka tano na wapo wengi...sasa hivi wanachukua za kichina kwa ajili ya Zimbabwe na Zambia, SA hawajazi thibitisha ubora wake kwa matumizi yao kwa sasa ila nadhani wataingia mkuu mimi sipo kubishana hapa na utafiti ufanyike wa dunia au wa Ubungo...?