Yutong/zongtong/Higer and scania buses

Yutong/zongtong/Higer and scania buses

hapana scania f95_310hb na f95_270hb zilizopo hapa tz ni sawa na zilizopo south africa maana chassis ya scania inayotumika south na huku haina tofauti
Mkuu South wana basi nyota tano Greyhound na Intercape bei zao kutoka pretoria mpaka Cape Town ni rand 1000 kwa season hii huku SAA,Kulula,Mango na mashirika mengine fair ipo rand 700 na 800 hayo mabasi yana full mapema sana huku Flight zikitafuta abiria....
 
zainabs zilifungiwa baada ya kuuwa watu 52 pale luhimba mpakani mwa mkoa wa njombe na ruvuma kuna makaburi ya ukombusho pale toka afutwe na sumatra akavua bodi za basi na kubaki lori za mizigo na kwa kuwa alikua akifukuzana na shabiby wao wakafungiw ruti ya ruvuma
Duh! balaa
 
Mkuu South wana basi nyota tano Greyhound na Intercape bei zao kutoka pretoria mpaka Cape Town ni rand 1000 kwa season hii huku SAA,Kulula,Mango na mashirika mengine fair ipo rand 700 na 800 hayo mabasi yana full mapema sana huku Flight zikitafuta abiria....
hapo unaongelea upande wa body na interior na ukumbuke tozo za nauli kwa tanzania zinapangwa na sumatra kulingana na hadhi ya gari shabiby tu na ratco ndio walioruhusiwa kujipangia nauli kutokana na baadhi ya gari zao kuwa ni v.i.p
 
Kisbo ni mabasi ambayo ni Scania, Yale magari yako imara sana na yanamudu mwendo kasi na urefu wa safari. Yutong safari ndefu lazima ufungue pale mbele upepo upige la cvyo yanalipuka.
Mbona Mimi naongozana na kisbo hao hao na Rungwe express kwenda Mwanza, kahama tunafika muda sawa tu uliopangwa na Tena kwenye mchina na enjoy sana,,, sema kwa uimara Wa muda mrefu Scania inaduma lkn mwendo ni ule ule mkuu
 
Huyu haangalii market trends, kwa taarifa ni kuwa scania anaisoma namba habari ya mjini ni Yutong and the likes kwa mfano kampuni ulizotaja zinatumia scania yaangalie hayo mabasi yote yamezeeka, hebu taja basi moja tu jipya pale Ubungo model ya scania
Dar express anazo Scania Marcopolo Viaggio 1050 gharama ya bus moja nikama milioni 900 bado ushuru na Kilimanjaro Express anazao pia macropolo za kawaidia katika historia ya mabus Tanzania ni Dar express tu ajawai nunua mchina na kwenye historia yake ameshawai kuwa na bus za scania na mercedez benzi zenye body ya Marcopol,Irzar na Dar Coach Body.Katika biashara kuna na ghari ya gharama nyingi unakaa nayo miaka 10 bila usumbufu na inakupa faida na kurudisha gharama zote ndio biashara nzuri,mabus mengi ya kichina baada ya mda wamiliki ubadili Injini na kuweka ya Scania,Gear Box na Deaf ndio siri watu wasio ijua,chines bus azidumu miaka miwili au mitatu mara nyingi wanabadilisha na kuvika injini ya scania,deaf na gear box hiyo ndio siri wengi awaijui.Nimepita kenya na uganda haya mabus ya kichina sio mengi huko kama huku.Pia kitu cha bei rahisi kina faida na hasara zake.Mfano mzuri mabus mengi ya Higer viti vyake sio rafiki kwa watu warefu,yutong na Zhongtong au Kinglion kidogo viti ni vizuri na pia hizi gari zinachoka sana mapema miaka miwili au mitatu ni mingi.Na mara nyingi mabus ya china yanayotengenezwa kwa soko la ulaya ni tofauti kabisa kiviwango wenzetu wana viwango walivyoweka vya bus liweje la safari fupi au safari ndefu,na ghararama ya hilo bus kwa viwango vya ulaya japo limetengenezwa china gharama zinakuwa kubwa sana karibu na kununua scania,man,volvo,mercedes,nissan,issuzu n.k.
 
mkuu hizo gari viaggio 1050G7 sidhani kama zinafika mil 900 kwa kipindi alichonunua dar express maana nilishawai kuuliza marcopolo sa wakasema hazipishani sana na bei ya Andare G6 vile vile kilimanjaro express yeye ananunua mabody kutoka marcopolo na kuyavisha chassis na injini za malori za mwanzo alifunga 94D hizi za sasa hivi kafunga P230 opticruise na upande wa gari za kichina ulishawai kuona yutonga f12,f9,Higer,goldendragon,kinglong,zhongtong climber imefungwa vitu vya scania??
 
Mbona Mimi naongozana na kisbo hao hao na Rungwe express kwenda Mwanza, kahama tunafika muda sawa tu uliopangwa na Tena kwenye mchina na enjoy sana,,, sema kwa uimara Wa muda mrefu Scania inaduma lkn mwendo ni ule ule mkuu
Mkuu unaongozana kwa sababu ya Tochi ndio zinakusaidia huwezi fata Engine ya Scania iliyitulia...
 
New force anamfanyaje ilasi route ya Tunduma_Mbeya
Mkuu miaka ya nyuma akikuepo dereva anaitwa Giriki na mwingine Cheupe ashawahi fika mbeya saa nane mchana imetoka Dar 12 alfajiri gari lilipiliza Central unazungumzia kipindi cha tochi na Sumatra mabasi yanatoka mbeya alfajiri na usiku...
 
Sting Scania series ya P zote hazikwami katika tope ila R nyingi ndio zilikua tope ni shida ila kwa sasa Scania nae yupo vizuri ila hamfikii Actross...Kwa maelezo yako kuhusu Actross upo sahihi kabisa...
P series sijaitumia japo naitamani inawezekana imeboreshwa sana kaka hata ikipita nimeona hisikii muungurumo na nimeambiwa ziko comfortable sana ndani yani ni zaidi ya basi full kiyoyozi, dashboard kama ya ndege.
 
Mkuu kwani wewe hukusoma methali "Bure aghali"?
Usiwe kama profesa anayelilia uenyekiti aliojiuzulu kwa hiyari yake!!!?

Umesoma uzi vizuri na comment zangu mkuu? Kwamba Mabasi ya kichina hayadumu, liko wazi, kwamba yana bei ndogo kuliko scania liko wazi, hapo tulikua tunaongelea soko na abiria wanachopendelea. Bei ya Scania moja huenda ikakaribia wachina kadhaa (Sina uhakika sana). Sasa mfanya biashara anapima anunue ipi pesa yake irudi upesi?

Leo hii ni abiria wangapi watapanda gari kwa brand (Scania au mchina)? Wengi wanaangalia muonekano na comfortability.
Scania wana mabasi makali lakini gharama nazo ziko juu, ndio maana mchina anaendelea kusumbua. Kuchoka kwa scania na mchina ni tofauti sana, mchina akianza kuchoka hauwezi kumfanya chochote, Scania amekua kwenye game kitambo ni mkongwe (Experience matters). Anaejua anajua tu, sema mchina kampokonya soko kwa kuwa watu hawajali sana ubora.
 
Mkuu miaka ya nyuma akikuepo dereva anaitwa Giriki na mwingine Cheupe ashawahi fika mbeya saa nane mchana imetoka Dar 12 alfajiri gari lilipiliza Central unazungumzia kipindi cha tochi na Sumatra mabasi yanatoka mbeya alfajiri na usiku...
Umenikumbusha mbali sana Giriki wa Tawaqal alikuwa balaa saa nane mbeya umefika.
 
P series sijaitumia japo naitamani inawezekana imeboreshwa sana kaka hata ikipita nimeona hisikii muungurumo na nimeambiwa ziko comfortable sana ndani yani ni zaidi ya basi full kiyoyozi, dashboard kama ya ndege.
Mkuu P zipo chache na used zinauzwa bei kidogo kuriko baadhi ya R ndio maana wengi wanachukua R kwa unafuu wa bei na kule sokoni zipo chache sana..ila ukiipata ni mashine nzuri sana
 
Mkuu miaka ya nyuma akikuepo dereva anaitwa Giriki na mwingine Cheupe ashawahi fika mbeya saa nane mchana imetoka Dar 12 alfajiri gari lilipiliza Central unazungumzia kipindi cha tochi na Sumatra mabasi yanatoka mbeya alfajiri na usiku...
kipindi hicho yalikuwa ni malori yaliyofungwa chassis za mabasi na gari aliyokuwa nayo giriki ilikuwa imechezewa pampu giriki mwenyewe anasema hivyo saizi anaendesha adventure dar_Kigoma
 
Mkuu unaongozana kwa sababu ya Tochi ndio zinakusaidia huwezi fata Engine ya Scania iliyitulia...
Torch tu hapo zinafanyaga hizi bus za kichina zipumue. Hapo uko na yutong unamfata lakini akipata gap la 10 km bila torch huoni scania.
 
Umesoma uzi vizuri na comment zangu mkuu? Kwamba Mabasi ya kichina hayadumu, liko wazi, kwamba yana bei ndogo kuliko scania liko wazi, hapo tulikua tunaongelea soko na abiria wanachopendelea. Bei ya Scania moja huenda ikakaribia wachina kadhaa (Sina uhakika sana). Sasa mfanya biashara anapima anunue ipi pesa yake irudi upesi?

Leo hii ni abiria wangapi watapanda gari kwa brand (Scania au mchina)? Wengi wanaangalia muonekano na comfortability.
Scania wana mabasi makali lakini gharama nazo ziko juu, ndio maana mchina anaendelea kusumbua. Kuchoka kwa scania na mchina ni tofauti sana, mchina akianza kuchoka hauwezi kumfanya chochote, Scania amekua kwenye game kitambo ni mkongwe (Experience matters). Anaejua anajua tu, sema mchina kampokonya soko kwa kuwa watu hawajali sana ubora.
Mchina anasumbua tu hpa TZ kwa sababu tunapenda cheap properties.
 
Mbona Mimi naongozana na kisbo hao hao na Rungwe express kwenda Mwanza, kahama tunafika muda sawa tu uliopangwa na Tena kwenye mchina na enjoy sana,,, sema kwa uimara Wa muda mrefu Scania inaduma lkn mwendo ni ule ule mkuu
Endelea ongozana nayo baadaye jioni unipe taarifa amekupoteza saa ngap.
 
weka scania mpya hapa na yutong/zongtong pale then shindanisha. scania bei ipo juu(ndomana wasafirishaji wengi wamekimbilia mabasi ya china). kwenye mlima scania utaipenda(kama ushawahi panda hood ukafika kitonga unajua nn namaanisha). kwa masafa marefu scania ndo zenyewe. (daaah ebana kama ushawahi panda modern coast/hood utasimulia) pia hazichoki haraka. za mchina unafuu wake sanasana upo kwenye bei. luxury za ndani ya gari ni sawa tu na luxury za scania. mi nasema hivi kwa experience yangu kama mtu anataka kujua ubora wa scania naomba apande basi la MODERN COAST japo mara moja tu then majibu atayapata
 
tunaongelea injini hatuongelei mabody mkuu
 
Back
Top Bottom