Mbona lafudhi ni ya Katoro?Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi.
View attachment 3649760
Je video hii ina uhalisia?
Ndo nazitaka hizi Sasa 😅😅😅😅
Yaliyomo yamo?Ndo nazitaka hizi Sasa 😅😅😅😅
Nigawie basi.🙌😋
Yanakosaje kwa mfano 😋Yaliyomo yamo?
Uko greenlighted ushindwe wewe tu.Yanakosaje kwa mfano 😋
Nimepokea 😋😘Uko greenlighted ushindwe wewe tu.
Hela gani zinawekwa kwenye shelf kama viatu? Au kwemye mabesemj kama maparachichi?Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi.
View attachment 3649760
Je video hii ina uhalisia?
Kwanini wafuatiliwe, kwani kuna mtu analalamika wamemuibia? Machimbo yakitema ndiyo hivyo.Nilidhan nmehisi peke yangu, hawa watu wafuatiliwe