ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwanza mkisikia interview ya Gamond baada ya Kumchapa Simba, aliongea kauli Moja kuwa alitumia ubabe kumpanga Diara aliewasili katika Tanzania masaa matatu kabla ya Derb, na hiyo ni baada ya malumbano makubwa kati ya kocha na baadhi ya viongozi wa Yanga ambao walitaka kumlazimisha Mzee wa "FOR ME" Mater Gamond kumpanga Mshery kwakuwa Diara amechelewa kuja hivyo atakuwa na uchovu mkubwa.
Picha lilianza hivi, baada ya Simba kuona na kufanya assesment ya derb dhidi ya Yanga, waligundua kuna sehemu moja ambayo ni muhimili wa Yanga na kwa kiasi kikubwa Yanga wanamtegemea mhimili huo katika mechi zake, kumbe Simba walitambua hilo na kuanza kutafuta namna ya kumuingia Kipa Diara na Kuhakikisha Mechi hiyo ya Derb , Kipa huyo hadaki.
Movement ya Kwanza Simba waliweka offer kubwa sana kwa wakala wa Diara, ili figisu zifanyike asicheze mechi, sio ajifungishe bali asicheze mechi, baada ya dili hili kubuma kwani msimamizi wa Diara aligoma kabisa kujihusisha na Maujinga hayo.
Movement ya pili ilifanywa na makachero wa ndani wa Simba mpaka kuweza kupenya kwenye benchi la ufundi kupitia baadhi ya viongozi wa Yanga , ambapo kulikuwa na mgogoro mkubwa wa Kocha gamondi kulazimishwa amchezeshe mshery kitu ambacho alikataa, na hata kwenye press conference alisema.
Move ya Mwisho kabisa , simba ilifanya mipango na kutuma watu na kupiga simu nyingi , na kuwezesha mipango ya Kipa diara kucheleweshwa katika moja ya viwanja vya ndege yaani connecting hub, mpango ulishasukwa tayari na kama diara angetumia uwanja huo wa ndege kuconnect flight kuja tanzania basi angefika mechi ya Derby imeshaisha. Baada ya WATU wasio waaminifu kwa simba (Walivuta mpunga Yanga kama Yanga walivyovuta Mpunga kwa Simba) walivujisha mipango hiyo kwa yanga na hivyo kumfanyia diara atumie njia nyingine ya kukonekti ndege ya kufika hapa tanzania, na alifika saa nane na Robo mchana , masaa matatu kuelekea Derb.
Viongozi wa Simba walivyoona mambo yameharibika basi walibidi kuwaambia wachezaji waingie uwanjani kupambana. Kwa habari hii pia inawezekana watu walivuta pesa anula adake ile mechi ya 5-1. Nimegundua derby ni biashara kubwa sana, mtu unaweza ukauliwa kisa derb.
SOURCE YA HII HABARI NI ZA NDAAAAAANI KUTOKA KWENYE KITUO KIMOJA CHA REDIO HAPA TANZANIA