Tetesi: Za ndaaaaani, Simba walitafuta namna ya kumhonga Diara na kublock ndege yake , wakachemka

Tetesi: Za ndaaaaani, Simba walitafuta namna ya kumhonga Diara na kublock ndege yake , wakachemka

Inafikirisha sana. Timu ifanye attempt kublock ndege za mashirika ya nje tena viwanja vya watu afu uwanjani ishindwe kublock shuti moja tu la Maxi Mpia Nzengeli "The Ousborne"?....na ipate attemp on target moja tuuu? [emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeshangaa sana hii, anafikiri airlines za wenzetu ni kama za huku kwetu ambako zinaweza fanyiwa hiyo michezo. Simba hana influence ya kiwango hicho.
 
Watanzania tumekosa mambo ya kujadili, Mwabukusi yupo sahihi. Hivi unaanzisha uzi kabisa kutuaminisha kwamba klabu ya soka inaweza kuzuia safari ya ndege? Ungekuwa na exposure jinsi safari ya ndege ilivyo sensitive usingethubutu kuanzisha uzi huu, lakini yaelekea wewe ni wa humu humu tu, hujasafiri
Hajui sensitivity ya logistic ya airlines zilivyo.
 
Back
Top Bottom