Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hahahaha. Hamna kitu umesahau kweli?wanachanganya majani ya viwanjani...majasho ya wachezaji...na ndevu za mzee Mpili...😃😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha. Hamna kitu umesahau kweli?wanachanganya majani ya viwanjani...majasho ya wachezaji...na ndevu za mzee Mpili...😃😃😃😃
Simba ni kama wamechanganyikiwa nimetoka kusikiliza press ya wazee wao wanailaumu serikali vibaya mnoHii nimemsikia rikado momo . Za ndaaniiii
Hizi supu za VIBUDU zimeshawaharibu bongo zenu.Kwanza mkisikia interview ya Gamond baada ya Kumchapa Simba, aliongea kauli Moja kuwa alitumia ubabe kumpanga Diara aliewasili katika Tanzania masaa matatu kabla ya Derb, na hiyo ni baada ya malumbano makubwa kati ya kocha na baadhi ya viongozi wa Yanga ambao walitaka kumlazimisha Mzee wa "FOR ME" Mater Gamond kumpanga Mshery kwakuwa Diara amechelewa kuja hivyo atakuwa na uchovu mkubwa.
Picha lilianza hivi, baada ya Simba kuona na kufanya assesment ya derb dhidi ya Yanga, waligundua kuna sehemu moja ambayo ni muhimili wa Yanga na kwa kiasi kikubwa Yanga wanamtegemea mhimili huo katika mechi zake, kumbe Simba walitambua hilo na kuanza kutafuta namna ya kumuingia Kipa Diara na Kuhakikisha Mechi hiyo ya Derb , Kipa huyo hadaki.
Movement ya Kwanza Simba waliweka offer kubwa sana kwa wakala wa Diara, ili figisu zifanyike asicheze mechi, sio ajifungishe bali asicheze mechi, baada ya dili hili kubuma kwani msimamizi wa Diara aligoma kabisa kujihusisha na Maujinga hayo.
Movement ya pili ilifanywa na makachero wa ndani wa Simba mpaka kuweza kupenya kwenye benchi la ufundi kupitia baadhi ya viongozi wa Yanga , ambapo kulikuwa na mgogoro mkubwa wa Kocha gamondi kulazimishwa amchezeshe mshery kitu ambacho alikataa, na hata kwenye press conference alisema.
Move ya Mwisho kabisa , simba ilifanya mipango na kutuma watu na kupiga simu nyingi , na kuwezesha mipango ya Kipa diara kucheleweshwa katika moja ya viwanja vya ndege yaani connecting hub, mpango ulishasukwa tayari na kama diara angetumia uwanja huo wa ndege kuconnect flight kuja tanzania basi angefika mechi ya Derby imeshaisha. Baada ya WATU wasio waaminifu kwa simba (Walivuta mpunga Yanga kama Yanga walivyovuta Mpunga kwa Simba) walivujisha mipango hiyo kwa yanga na hivyo kumfanyia diara atumie njia nyingine ya kukonekti ndege ya kufika hapa tanzania, na alifika saa nane na Robo mchana , masaa matatu kuelekea Derb.
Viongozi wa Simba walivyoona mambo yameharibika basi walibidi kuwaambia wachezaji waingie uwanjani kupambana. Kwa habari hii pia inawezekana watu walivuta pesa anula adake ile mechi ya 5-1. Nimegundua derby ni biashara kubwa sana, mtu unaweza ukauliwa kisa derb.
SOURCE YA HII HABARI NI ZA NDAAAAAANI KUTOKA KWENYE KITUO KIMOJA CHA REDIO HAPA TANZANIA
Hebu jazia...😃😃😃Hahahaha. Hamna kitu umesahau kweli?
Mkiwa na imani kama hii makundi hamtoboi. Nimekaa pale.Refa ndio aliyomfunga Simba na sio yanga,yanga hana uwezo wa kufunga Simba bila kutumia siasa,bahasha,na marefa kama kayoko,Arajiga n.k
Manara.Hebu jazia...😃😃😃
Ndio huyu airmanua sijui Airmanulaanula adake
Kunuta nini umesema wewe ushawahi kunuta na nani pdidy?Mngetumia huu ubunifu wa za ndaani kunuta Pesa zilipo.....!
Mngekuwa Matajiri Sasa hivi.
Kuandika kwenyewe hujui, hafu unataka kuchangia.....!Kunuta nini umesema wewe ushawahi kunuta na nani pdidy?
Pdidy alikuchangia na nani au alikua pekeyake?Kuandika kwenyewe hujui, hafu unataka kuchangia.....!
Kama unashindwa tu kuandika Kiswahili....! Means you are totally stupidy.,!Pdidy alikuchangia na nani au alikua pekeyake?
Tofali stupid ndio nini? Kwa hio umeanza matusi?Kama unashindwa tu kuandika Kiswahili....! Means you are totally stupidy.,!
Foseg wena.....!!!
Wazee wasimba wamechafukwa huko,ukiingia kwenye 18,zao utajuta.Kwanza mkisikia interview ya Gamond baada ya Kumchapa Simba, aliongea kauli Moja kuwa alitumia ubabe kumpanga Diara aliewasili katika Tanzania masaa matatu kabla ya Derb, na hiyo ni baada ya malumbano makubwa kati ya kocha na baadhi ya viongozi wa Yanga ambao walitaka kumlazimisha Mzee wa "FOR ME" Mater Gamond kumpanga Mshery kwakuwa Diara amechelewa kuja hivyo atakuwa na uchovu mkubwa.
Picha lilianza hivi, baada ya Simba kuona na kufanya assesment ya derb dhidi ya Yanga, waligundua kuna sehemu moja ambayo ni muhimili wa Yanga na kwa kiasi kikubwa Yanga wanamtegemea mhimili huo katika mechi zake, kumbe Simba walitambua hilo na kuanza kutafuta namna ya kumuingia Kipa Diara na Kuhakikisha Mechi hiyo ya Derb , Kipa huyo hadaki.
Movement ya Kwanza Simba waliweka offer kubwa sana kwa wakala wa Diara, ili figisu zifanyike asicheze mechi, sio ajifungishe bali asicheze mechi, baada ya dili hili kubuma kwani msimamizi wa Diara aligoma kabisa kujihusisha na Maujinga hayo.
Movement ya pili ilifanywa na makachero wa ndani wa Simba mpaka kuweza kupenya kwenye benchi la ufundi kupitia baadhi ya viongozi wa Yanga , ambapo kulikuwa na mgogoro mkubwa wa Kocha gamondi kulazimishwa amchezeshe mshery kitu ambacho alikataa, na hata kwenye press conference alisema.
Move ya Mwisho kabisa , simba ilifanya mipango na kutuma watu na kupiga simu nyingi , na kuwezesha mipango ya Kipa diara kucheleweshwa katika moja ya viwanja vya ndege yaani connecting hub, mpango ulishasukwa tayari na kama diara angetumia uwanja huo wa ndege kuconnect flight kuja tanzania basi angefika mechi ya Derby imeshaisha. Baada ya WATU wasio waaminifu kwa simba (Walivuta mpunga Yanga kama Yanga walivyovuta Mpunga kwa Simba) walivujisha mipango hiyo kwa yanga na hivyo kumfanyia diara atumie njia nyingine ya kukonekti ndege ya kufika hapa tanzania, na alifika saa nane na Robo mchana , masaa matatu kuelekea Derb.
Viongozi wa Simba walivyoona mambo yameharibika basi walibidi kuwaambia wachezaji waingie uwanjani kupambana. Kwa habari hii pia inawezekana watu walivuta pesa anula adake ile mechi ya 5-1. Nimegundua derby ni biashara kubwa sana, mtu unaweza ukauliwa kisa derb.
SOURCE YA HII HABARI NI ZA NDAAAAAANI KUTOKA KWENYE KITUO KIMOJA CHA REDIO HAPA TANZANIA
duhh!!!Kwanza mkisikia interview ya Gamond baada ya Kumchapa Simba, aliongea kauli Moja kuwa alitumia ubabe kumpanga Diara aliewasili katika Tanzania masaa matatu kabla ya Derb, na hiyo ni baada ya malumbano makubwa kati ya kocha na baadhi ya viongozi wa Yanga ambao walitaka kumlazimisha Mzee wa "FOR ME" Mater Gamond kumpanga Mshery kwakuwa Diara amechelewa kuja hivyo atakuwa na uchovu mkubwa.