Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

Kwani sasa hivi hawana mdhamini ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kwani sasa hivi hawana mdhamini ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Unafikiri kwa nini kuna taarifa imevuja pesa za mishahara timu in-struggle kulipa? M-bet Tanzania unakifiri anatoa Tshs. 4B kwa kweli? Kwa nini timu imtegemee mwekezaji mpaka ktk mishahara? Baada ya kuingia Sportspesa pesa za mishahara zilitoka ktk mapato yao hawa watu wengine kama Mo & GSM ziliingia ktk fungu la usajili pamoja na day to day operations.
 
Acheno ujinga, fanyeni sajili za maana mshindane na Uto.

Try again ndo alisababisha goli na Ihefu?

Ndo alisababisha kufungwa na mashujaa?
 
Hapa ndio ukweli ulipo mchawi mkubwa wa Simba ni MO, tutahangaika na kina Try again na Mangungu lakini ukweli hela ya usajili inayotoka na ya kibubu na kwa kuwa bodi inanguvu mapato yote yanaenda kwa MO na wajanja wenzake hao kina Try again.
Huyu jamaa hafai kuwekeza Simba yaani GSM ni zaidi ya MO na anaakili ya uongozi na usimamizi
 
Ukitaka kujua hela inayotoka ni ya kibubu angalia wachezaji wazuri waliopendekezwa kusajiliwa na Simba alafu ikafeli kuwasajili.
Hapa kirusi ni MO.
 
SEMA HII NCHI INA MATAHIRA WENGI SANA.

BARBAR NDIO CHANZO CHA KUPOROMOKA KWA SIMBA.

SIMBA ILIJENGWA NA SENZO SIO BARBAR.
FICHENI UPUMBAVU.
 
Kuna mzee unajiita PhD hapa jukwaani

Ni mjinga kweli kweli na anaongoza kwa kuwatukana mashabiki wa simba.

Lakini yeye tu kuandika PhD kwa usahihi hajui.

PhD haiandikwi hivi
 
Mbet

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Na Mbet anawalipa pesa nyingi kwa mwaka kuliko mkataba wa zamani wa Sportpesa.

Pia kwa sasa wana wadhamini wengi kuliko awali sasa pesa ya Mo wanaitaka ya nini wakati CAFCL, gate collections na wadhamini wa ligi na matangazo wanatoa pesa.?

Labda kama kuna hoja ya matumizi mabaya ya fedha za club.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mo alisema mwenyewe ametoa 3B kwajili ya usajili.

Wewe taarifa za kuvuja wachezaji hawalipwi mishahara unazitoa wapi ?

Club imeshiriki AFL, ina wadhamini zaidi ya sita ikose pesa za kulipa mishahara kuliko kipindi ambacho ilikuwa na mdhamini mmoja.

Sitaki kuwa dumb wa kuamini kitu ambacho hata logic ya kawaida tu inakataa.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sasa tatizo la mo hapo likwapi mtu anatoa billions msajili viongozi wa team wanazingua wenyewe..
Mnataka mo aje wasajili yy mwenyewe yule ni investor sio director wa team!
Nadhani yanayojili kwasasa yatakupa mwanga kuhusiana na Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…