Mo aliwahibsema ahusiki na usajili ( dont know if it true or not) but utakuwa mjinga ambae huoni shida kwa salim na mangungu, babra aliwezaje ku strive before na mo akiwa boss? Alifanikiwaje?
toka babra aondoke simba wamesajil mchezaji yupi mwenye maana? Yupi effective?
Simba wanapata wachezaj wa bei che ambao viwango vimewaisha. And nani yupo kwenye jukumu hilo?
Simtetei Mo , ila uongozi uliotakiwa umsaidie ni mbovu na sio efficient
1) Mo hausik na usajili kwenye angle ipi? Ya kutoa pesa au ya kutafuta wachezaji? Kama ni kutafuta wachezaji Mels Daalder si ndiye kapendekezwa kuwa head of scouting?
2) Babra aliikuta Simba tayari ipo kwenye mafanikio na wala sio kwamba ndiye aliyeitengeneza Simba. Babra kateuliwa Simba msimu wa 2020/2021 wakati huo tayari Simba ilikuwa tayari imetoka kucheza robo fainali mbili moja ilikuwa ni klabu bingwa 2018/2019 na nyingine ni shirikisho 2019/2020.
Katika hiyo misimu miwili Simba ilikuwa ina wachezaji wakigeni ambao na wazawa ambao tayari walisha click kwenye mfumo wa Simba
Kulikuwa na
1) Okwi
2) Chama
3) Kotei
4) Gyan
5) Juuko
6)Kwasi
7) Kagere
8) Niyonzima
9)Wawa
10) Zana
Wakafanya Replacement
1) Fraga
2) Da Silva
3) Shiboub
4) Kahata
Babra anakuja Simba 2020 anaikuta Simba tayari ina wachezaji na ilishaanza kupata mafanikio. Na wachezaji waliosajiliwa pindi yeye akiwa CEO ni
1) Morrison
2) Ilanfya
3)Onyango
4) Duchu
5) Bwalya
6) Mugalu
7)Ame Ibrahim
Chini ya huo huo uongozi wa Barbara tulishuhudia Yanga akianza kuchukua makombe msimu wa 2021/2022 ni vipi hapo tukihoji kuwa pengine alikuwa anatembelea upepo wa watangulizi wake na baada ya upepo kuisha akashindwa kuonesha uwezo wake wa kiuongozi ili Simba iendeleze kubeba mataji?
Mastermind wa Simba alikuwa ni Zacharia Hans Pope na Simba ilifanya vizuri kutokana na uwepo wa huyo mtu akisaidiana na Magori, na alipofariki huyu ndio ikaonekana pengo na matatizo ya Simba.
Swali lako la mwisho umeniuliza toka Barbara aondeke ni mchezaji gani wa maana.
Kabla ya kutaja wachezaji tuangalie achievement ya Simba akiwepo Barbara na sasa.
Kwenye klabu bingwa kipindi cha Barbara ni hatua ya robo fainali jambo ambalo wa sasa wameweza kulimantain. Swala la ubingwa wa ligi kuu hata yeye Barbara alishuhudia Yanga akiwa bingwa wa ligi kuu.
Inamaana wachezaji wote waliopo Simba sio wa maana? Ayoub? Inonga? Sakho? Ngoma?