GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;
1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie.
2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music Band kupewa adhabu kimya kimya baada ya kudai chao.
3. Fedha kuisha huku Tajiri na Matajiri Tegemezi watatu wakigoma tena kuweka mzigo na kuwataka wajiendeshe wenyewe kwa sasa kwani na wao wana majukumu mengine.
ANGALIZO
Timu inayoongelewa hapa ni ya Avic Town Tumeishiwa Fedha FC sasa wewe kisokolokwinyo (kiherehere) jifanye unaihisi timu nyingine na uingie katika 18 zangu 'Nikurarueraure' ujute.
Na ukijijua kabisa kuwa humpendi GENTAMIYCINE na unamchukia hata kutamani afe tu na huvutiwi na taarifa zake pamoja na uwasilishaji wake kutokana na upumbavu, wivu na uwendawazimu wako uliokutukuka njia rahisi ni kuachana nae (nami) na uendelee kuwasoma na kuwafuatilia hao unaowaona ni bora kwako na unawakubali zaidi sawa?
Imeisha hiyo.
Kudadadeki!!!