masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Nitakupigia ngoja kwanza nipungue punguenipate wapiii mkuu.. nipo tu.. weyewe mwenyewe hutaki alfajiri kunipitia tukimbie nipunguze unene
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakupigia ngoja kwanza nipungue punguenipate wapiii mkuu.. nipo tu.. weyewe mwenyewe hutaki alfajiri kunipitia tukimbie nipunguze unene
Kwani wakati Yanga inasajiri mwaka jana iliwatangazia kama hamkusubiri mpaka usiku wa manane siku ya mwisho kabisa?Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;
1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane nae ili amshawishi asaini na abakie.
2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music Band kupewa adhabu kimya kimya baada ya kudai chao.
3. Fedha kuisha huku Tajiri na Matajiri Tegemezi watatu wakigoma tena kuweka mzigo na kuwataka wajiendeshe wenyewe kwa sasa kwani na wao wana majukumu mengine.
ANGALIZO
Timu inayoongelewa hapa ni ya Avic Town Tumeishiwa Fedha FC sasa wewe kisokolokwinyo (kiherehere) jifanye unaihisi timu nyingine na uingie katika 18 zangu 'Nikurarueraure' ujute.
Na ukijijua kabisa kuwa humpendi GENTAMIYCINE na unamchukia hata kutamani afe tu na huvutiwi na taarifa zake pamoja na uwasilishaji wake kutokana na upumbavu, wivu na uwendawazimu wako uliokutukuka njia rahisi ni kuachana nae (nami) na uendelee kuwasoma na kuwafuatilia hao unaowaona ni bora kwako na unawakubali zaidi sawa?
Imeisha hiyo....................... Kudadadeki!!!
nasubiriNitakupigia ngoja kwanza nipungue pungue
ANGALIZOKwa akili hizi bora waarabu,wainunue nchi nzima,maana imejaa wajinga wajinga tu
Ndio maana hawana kokote wanapoenda mwaka jana walikuwa hapa hapa wakabahatisha final basi wanaona ni sawa kubaki tena Tanzania kwenye kambi wakati wenzao wote wanaenda pre season nje ila yanga bwana kwa propaganda ndio maana wamemuweka manara pale msomi mwenye PHD ya propaganda.Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;
1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie.
2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music Band kupewa adhabu kimya kimya baada ya kudai chao.
3. Fedha kuisha huku Tajiri na Matajiri Tegemezi watatu wakigoma tena kuweka mzigo na kuwataka wajiendeshe wenyewe kwa sasa kwani na wao wana majukumu mengine.
ANGALIZO
Timu inayoongelewa hapa ni ya Avic Town Tumeishiwa Fedha FC sasa wewe kisokolokwinyo (kiherehere) jifanye unaihisi timu nyingine na uingie katika 18 zangu 'Nikurarueraure' ujute.
Na ukijijua kabisa kuwa humpendi GENTAMIYCINE na unamchukia hata kutamani afe tu na huvutiwi na taarifa zake pamoja na uwasilishaji wake kutokana na upumbavu, wivu na uwendawazimu wako uliokutukuka njia rahisi ni kuachana nae (nami) na uendelee kuwasoma na kuwafuatilia hao unaowaona ni bora kwako na unawakubali zaidi sawa?
Imeisha hiyo.
Kudadadeki!!!
Duuu!!!Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;

yanga tutatoboa vizuri hakuna shida subiri tuNina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;