Tetesi: Za ndaani kabisa kutoka Timu ya 'Avic Town Tumeishiwa Fedha FC'

Kwani wakati Yanga inasajiri mwaka jana iliwatangazia kama hamkusubiri mpaka usiku wa manane siku ya mwisho kabisa?
 
Hamna kitu kinauma Duniani Kama unafanya Jambo ili adui yako aumia au atoke hadharani akujibu, Simba wanaume kutangaza lonyalonya zao huku wakiona Yanga wametulia hawana pressure 😀😀, wametambulisha weee lakini habari zao haziendi mjini..., Wqnazidiwa mpaka na tetesi ya no 6 wa yanga.
 
Kwa akili hizi bora waarabu,wainunue nchi nzima,maana imejaa wajinga wajinga tu
 
Kwa akili hizi bora waarabu,wainunue nchi nzima,maana imejaa wajinga wajinga tu
ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMIYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mimi hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?
 
Ndio maana hawana kokote wanapoenda mwaka jana walikuwa hapa hapa wakabahatisha final basi wanaona ni sawa kubaki tena Tanzania kwenye kambi wakati wenzao wote wanaenda pre season nje ila yanga bwana kwa propaganda ndio maana wamemuweka manara pale msomi mwenye PHD ya propaganda.
 
Duuu!!!

Tatizo timu inazalisha pesa kidogo matumiz makubwa na mchezaj anataka pesa mingi mpaka wadhamin wa kumlipa mshahara wanaogopa kudhamin
 
yanga tutatoboa vizuri hakuna shida subiri tu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…