mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Wanajamvini Poleni sana, imenibidi ninunue VPN nzuri ambayo nalipia 81,000 Kwa mwaka.
Sasa Enyi ndugu zangu , tunajua na tunaona kabisa kipato Cha wa wasanii wengi ni Cha kati au ulala hoi, kulingana na soko la mziki la Tanzania, nimekuja kuambiwa kumbe gape kubwa la utajiri baina ya wasanii Kwa wasanii linasababishwa na vitu vingine nje ya muziki ikiwemo connection na mafisadi ya nchi.
Inasemekana mafisadi na watoto wa mafisadi wamejenga ukaribu na baadhi ya wasanii akiwemo B... .......o(lile gorofa halilingani na kipato chochote kutoka kwake , endorsement, mshahara ,kubeti usanii ).
Hasa habari zilizopo ni kuwa wasanii Hawa wanatumika KUTAKATISHA pesa na akiwemo na yule anayejiita namba moja, kwani pesa alizokuwa nazo haziendani na kipato chake Halisi, ingekuwa ni nchi inayojielewa angeshachunguzwa mara moja.
Hivyo vijana msihadaike na wasanii na kudhaninninkweli wanamiliki mabilioni, wengine wanatumika KUTAKATISHA Kodi za kwenu.
Hii ndo serikali tuliyonayo Sasa, ukiwa na pesa unakuwa