Iko wazi, hata matajiri wa mkoani kwako au wilayani wanatumika pia, mfano una kampuni yako ya usafirishaji inaitwa "VPN81,000 Safari", hapo na mimi nakuja kwako tunayajenga nanunua basi 10 kwa jina la kampuni yako,vau una Hotel inaitwa "VPN81 Hotel" tunayajenga mezani zinajengwa hotel mbili ghorofa 6 moja uyole nyingine Majengo pale Moshi, wewe utafaidika kwa kula asilimia