Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba.
Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga.
Pia inaelezwa kwamba simba bado hawajammalizia ada yake ya usajiri na mchezaji husika anataka pesa yake yote..
Kutokana na simba wenyewe hali yao ya kiuchumi kuwa ya mushkeli kidogo na hata kupelekea kuanza kuchangisha hela kwa mashabiki za usajiri.(kutembeza bakuli).
NB; ikiwezekana kwa anayebisha hebu alete uthibitisho kwamba jamaa bado yupo hapa bongo.