Za ndani kabisa; Chama na simba kimenuka, arudi kwao

Watakuja kukupinga wenzio
Kwa wenye kujitambua km mashabiki wa Simba habari zote tunazipata kupitia kwa semaji letu la viwango vyao FIFA, ktk akaunt rasmi za klabu za Instagram, Twita, Facebook na Simba app. Huku ndiko watu makini hupata habari na taarifa za klabu.

Hakuna utopolo mwenye akili. Angalia mautopolo mnavyoachangia hii habari yakifurahi kabisa. Yenyewe kwa yenyewe yanashikiana akili.

SIMBA 💪SIMBA 🔥
 
Tutachangia. Kuchanga ni wajibu wetu sisi Wanachama na Wapenzi wa Simba SC.
 
Chama naye bhana! Angekuja kwa Wananchi, muda huu angekuwa na yeye amesha shonewa suti ya kuvaa siku ya kukabidhiwa rasmi ubingwa wa ligi kuu!

Ona sasa! Atajutia sana uamuzi wake wa kurudi kwenye timu ya tia maji tia maji.
Chama ni Mzee, kwasasa umri umemtupa mkono kwenye namba anayocheza labda Kocha ambadilishe namba acheze namba 9 ama 10!
 
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba.

Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga.

Pia inaelezwa kwamba simba bado hawajammalizia ada yake ya usajiri na mchezaji husika anataka pesa yake yote..
Kutokana na simba wenyewe hali yao ya kiuchumi kuwa ya mushkeli kidogo na hata kupelekea kuanza kuchangisha hela kwa mashabiki za usajiri.(kutembeza bakuli).

NB; ikiwezekana kwa anayebisha hebu alete uthibitisho kwamba jamaa bado yupo hapa bongo.

View attachment 2213887

Wewe NYANI habari unaleta wewe halafu unaomba uthibitisho sio? Unaona sasa ushakunaku wako kumbe unatafuta umbe hapa! Wewe kweli ni Chura wa Jangwani.
 
Aondoke pesa hzo na mshahara wake alipwe mzawaa wa hapa kwao huko Zambia hata milion mbili kwa mwezi hakuna klbu inalipa embu atupishe na wengine wengi vijana wetu walipwe pesa hzo
 
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba.

Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga.

Pia inaelezwa kwamba simba bado hawajammalizia ada yake ya usajiri na mchezaji husika anataka pesa yake yote..
Kutokana na simba wenyewe hali yao ya kiuchumi kuwa ya mushkeli kidogo na hata kupelekea kuanza kuchangisha hela kwa mashabiki za usajiri.(kutembeza bakuli).

NB; ikiwezekana kwa anayebisha hebu alete uthibitisho kwamba jamaa bado yupo hapa bongo.

View attachment 2213887
Mkuu , huu muda mnaoutumia kueneza hizi propoganda zenu ambazo hazina kichwa wala miguu , mngekuwa mnautumia kutengeneza kitimu chenu ili kisilitie tena taifa aibu ya kupigwa tena nje ndani kama ilivyokuwa kwa pyramids mwaka juzi na Rivers mwaka huu si ingekuwa vizuri zaidi?

Endeleeni , lakini siku mkipigwa nje ndani tusilaumiane.
 
Wameshazoea hao mkuu,wao huwa wanatamba bongo tu
 
Changia changia imeanza kumbe, sijawai kuona klabu inayojinasibu kuwa ni tajiri inatembeza bakuli kwa ajiri ya usajili, michango ya tu wameshindwa sembuse michango ya kusajiri wachezaji
na wewe umeamini kabisa? 😆
 
na wewe umeamini kabisa? [emoji38]
Mkuu , kule Yanga waliotajwa kwamba Wana akili ni wawili tu , Sunday Manara na Mzee Kikwete.Sasa kwanini yeye asiamini wakati Yuko kwenye lile kundi la wengi wasio na akili?
 
Chama naye bhana! Angekuja kwa Wananchi, muda huu angekuwa na yeye amesha shonewa suti ya kuvaa siku ya kukabidhiwa rasmi ubingwa wa ligi kuu!

Ona sasa! Atajutia sana uamuzi wake wa kurudi kwenye timu ya tia maji tia maji.
Chama na ajibu ni mapacha wa mimba mbili tofauti
 
Chama naye bhana! Angekuja kwa Wananchi, muda huu angekuwa na yeye amesha shonewa suti ya kuvaa siku ya kukabidhiwa rasmi ubingwa wa ligi kuu!

Ona sasa! Atajutia sana uamuzi wake wa kurudi kwenye timu ya tia maji tia maji.
Sidhani kama kuna mchezaji mwenye akili timamu anayetamani mafakio kisoka atatamani kusajiliwa utopoloni timu ambayo ni mechi mbili tu za kimataifa Chali ,tena kwa kukung'utwa nje ndani.
 
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba.

Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga.

Pia inaelezwa kwamba simba bado hawajammalizia ada yake ya usajiri na mchezaji husika anataka pesa yake yote..
Kutokana na simba wenyewe hali yao ya kiuchumi kuwa ya mushkeli kidogo na hata kupelekea kuanza kuchangisha hela kwa mashabiki za usajiri.(kutembeza bakuli).

NB; ikiwezekana kwa anayebisha hebu alete uthibitisho kwamba jamaa bado yupo hapa bongo.

View attachment 2213887
Hizi ndio akili za vibwengo
 
Mkuu , huu muda mnaoutumia kueneza hizi propoganda zenu ambazo hazina kichwa wala miguu , mngekuwa mnautumia kutengeneza kitimu chenu ili kisilitie tena taifa aibu ya kupigwa tena nje ndani kama ilivyokuwa kwa pyramids mwaka juzi na Rivers mwaka huu si ingekuwa vizuri zaidi?

Endeleeni , lakini siku mkipigwa nje ndani tusilaumiane.
Kwahiyo huyu alieandika ni kocha au kiongozi wa Yanga ili afanye maandalizi uliyoyasema?
 
Akirudi pia usisahau kuweka uzi
 
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba.

Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga.

Pia inaelezwa kwamba simba bado hawajammalizia ada yake ya usajiri na mchezaji husika anataka pesa yake yote..
Kutokana na simba wenyewe hali yao ya kiuchumi kuwa ya mushkeli kidogo na hata kupelekea kuanza kuchangisha hela kwa mashabiki za usajiri.(kutembeza bakuli).

NB; ikiwezekana kwa anayebisha hebu alete uthibitisho kwamba jamaa bado yupo hapa bongo.

View attachment 2213887
Watuambie pesa tulizochanga za kujengea uwanja zipo wapi na zimefika kiasi gan
 
Back
Top Bottom