Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Changia changia imeanza kumbe, sijawai kuona klabu inayojinasibu kuwa ni tajiri inatembeza bakuli kwa ajiri ya usajili, michango ya tu wameshindwa sembuse michango ya kusajiri wachezajiTaarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba.
Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco,
Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga.
Pia inaelezwa kwamba simba bado hawajammalizia ada yake ya usajiri na mchezaji husika anataka pesa yake yote..
Kutokana na simba wenyewe hali yao ya kiuchumi kuwa ya mushkeli kidogo na hata kupelekea kuanza kuchangisha hela kwa mashabiki za usajiri.(kutembeza bakuli)
NB; ikiwezekana kwa anayebisha hebu alete uthibitisho kwamba jamaa bado yupo hapa bongo..
View attachment 2213887
Sisi ni team tajiri kwa Afrika tunashika nafasi ya tatu...!Changia changia imeanza kumbe, sijawai kuona klabu inayojinasibu kuwa ni tajiri inatembeza bakuli kwa ajiri ya usajili, michango ya tu wameshindwa sembuse michango ya kusajiri wachezaji
Tumesema tunaomba uthibitisho kwa anayebisha basi..haaa[emoji28][emoji23],,Uto bana awajuagi hata kutunga uzushi,tehe,,tehe,,tehe,,!
Watakuja kukupinga wenzioChama kurudishwa ulikuwa uamuzi mbaya. Mtu akienda aende.
Hii haimaanishi kwamba napinga au kukubali taarifa uliyoileta.Watakuja kukupinga wenzio
Ok ukweli utaupata mimi sikulazimishi kabisaHii haimaanishi kwamba napinga au kukubali taarifa uliyoileta.
πππππChama naye bhana! Angekuja kwa Wananchi, muda huu angekuwa na yeye amesha shonewa suti ya kuvaa siku ya kukabidhiwa rasmi ubingwa wa ligi kuu!
Ona sasa! Atajutia sana uamuzi wake wa kurudi kwenye timu ya tia maji tia maji.
Kama unabisha lete uthibitishoUtopolo wanajitekenye wakicheka wenyewe
Sisi ni team tajiri kwa Afrika tunashika nafasi ya tatu...!mjinga huamini kila akionacho mtandaoni au kila anachoambiwa,Wala hajiulizi ukweli wa habari,anahemka nazo tu.
Simba Ina akaunt insta,fb, twita na Simba app Ni wapi walikotangaza watu wachangie usajili.
Utopolo mnahangaika sana
Sasa inakuwaje hii michango?
aje acheze mechi mbili kimataifa halafu arudi kucheza na mbuni fc. Nani anataka timu za hivyo.Chama naye bhana! Angekuja kwa Wananchi, muda huu angekuwa na yeye amesha shonewa suti ya kuvaa siku ya kukabidhiwa rasmi ubingwa wa ligi kuu!
Ona sasa! Atajutia sana uamuzi wake wa kurudi kwenye timu ya tia maji tia maji.