Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

🦉🦉🦉

Screenshot_2022-03-06-11-39-30-861_com.twitter.android.png
 
iletwe sasa miaka 10 inasubiriwa.
alikuwa na ndoto na hatimae imetimia.. kusema kwingi huumba.. ame wish sana kuwa na ndege mwisho kaipata, ali wish sana kuna RR mwisho akaipata.. Hongera zake kwa kupambambani ndoto zake
 
Yaani una akili finyu sana kijana, sawa Diamond atanunua hiyo ndege for himself na familia yake, wewe unafaidika na nini?
Hata CR7 na Messi wana fans ambao hufurahia achievements zao lakini wao binafsi hawafaidiki chochote, oops sorry wanafaidika furaha na faraja pale celebrities wanaowa-admire wanapozidi kufanikiwa.
 
Hata CR7 na Messi wana fans ambao hufurahia achievements zao lakini wao binafsi hawafaidiki chochote, oops sorry wanafaidika furaha na faraja pale celebrities wanaowa-admire wanapozidi kufanikiwa.
Sasa wale fans ujuwe hawana la kufanya maishani, usipende kufananisha ujinga kwa ujinga
 
Sasa wale fans ujuwe hawana la kufanya maishani, usipende kufananisha ujinga kwa ujinga
Acha uzwazwa, kila mtu ana free time for leisure. Basi hata wewe kuwa hapa kwenye forum ambayo haulipwi ni kundi hilo la wajinga na hauna la kufanya maishani.
 
Back
Top Bottom