KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Askofu Gwajima kununua treni ya umeme
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema ameanza mchakato wa kununua Treni ya mwendo kasi ambayo itakuwa inatoka Dar es salaam mpaka Morogoro. Amesema kuwa Tanzania ya V…
dar24.com