Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Mbona wanilisha maneno. Nani amesema Mange amenpoteza dai? Nachosema ni, kila kitu kina wakati wake na wakati huisha. Dai wa sasa si yule. Peak yake ilishapita. Unachokataa ni nn? Kila mtu ana peak yake.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
How do you measure........
Labda shows, streams.......nk. tunaweza tukaanzia hapo.
 
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]

Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa

Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Ni jambo jema
 
Mbona wanilisha maneno. Nani amesema Mange amenpoteza dai? Nachosema ni, kila kitu kina wakati wake na wakati huisha. Dai wa sasa si yule. Peak yake ilishapita. Unachokataa ni nn? Kila mtu ana peak yake.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
huyu huyu anayekimbiza wenzake kwenye music platforms na shows?
 
Mbona wanilisha maneno. Nani amesema Mange amenpoteza dai? Nachosema ni, kila kitu kina wakati wake na wakati huisha. Dai wa sasa si yule. Peak yake ilishapita. Unachokataa ni nn? Kila mtu ana peak yake.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Sure ,huwa tunaita wakati,kwasisi tuliobobea kwenye statistics na graphs ,ukidraws graph ya Dayamondi kwasasa ana decelerate,alishafika peak kwasasa anashuka kimuziki sema ndiyo hivyo kwa bongo hatuna vitu kama RIAA ambavyo vinatoa statistics za msanii.
 
Hawawezi kuelewa mkuu. Just because amechagua lifestyle hiyo basi bado kwa upofu wao wanaona bado yuko kwenye peak. Kila lenye mwanzo halikosi mwisho. Ni kama ali kiba tu. Zama zilishapita. Sasa hv anatoa nyimbo za kujifurahisha tu. Na haya mambo ya uteam ndo ujinga wenyewe unaua talents tu. Dai is decelerating. Ni vipofu tu hawaoni. Halaf ni kitu cha kawaida sana mbona

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wanaosema diamond anashuka wapo kwenye huu uzi unaomuhusu yeye wanamuongelea
 
Back
Top Bottom