Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #121
Ndio naingia leo hiv wiki ijayo yenyewe haijafika?
Haijafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio naingia leo hiv wiki ijayo yenyewe haijafika?
Sawa kaka Mayunga tunangojaHaijafika
Rekado momo mbona kama umepanic? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ya mama yako kutoka kwenu
Mtu ana nyumba za kutosha halafu unauliza anaishi wapi? Nenda E fm mtafute kitale akupeleke kwenye mijengo ya domo.Mi si muumini wa ngonjera na kuelewa kwa haraka, nadhani nina tatizo kubwa.
Mtu aliyeishi nyumba moja na mama'ake kwa miaka kadhaa, Mario wa mama'ake humo humo, dada'ake na mume wa dada'ake humo humo, akaamua kwenda kupanga nyumba za wenzake HUKU mashabiki zake wakisema ana zaidi ya BILIONI moja, wakazidi kusema anamiliki kiwanda cha zile karanga, pafyumu na media company, kisha akanunua gari la zaidi ya bilioni moja, na sasa ananunua ndege sijui pesa ngapi ILA swali la msingi, ANAISHI WAPI na kwanini?
Mtu ana nyumba za kutosha halafu unauliza anaishi wapi? Nenda E fm mtafute kitale akupeleke kwenye mijengo ya domo.
Gasho ni baba yako aliyemzaa mtoto mjinga na mpumbavu kama wewe ambaye una wivu na maendeleo ya watu Wengine
Bora wangezaa Nguruwe kuliko wewe
Rekado momo mbona kama umepanic? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu ana nyumba za kutosha halafu unauliza anaishi wapi? Nenda E fm mtafute kitale akupeleke kwenye mijengo ya domo.
Kuna tofauti ya nyumba na PAGALE.
Au unamaanisha MAPAGALE ya Mwananyamala aliyokuwa anavua watu? Nachojua Dayamondi ana nyumba moja(MADALE) na mapagale kadhaa!!
Kwani mi nimekuchukulia poa dogo mbona wajishuku.Bro tusichukuliane Poa maisha unayoishi wewe sio kama mim ndo nayoishi Broo Nilichokisomea akijafikia stage ya kuanza kutumwa mihogo
Kama wewe umezoea kutumwa mihogo ni wewe pumbavu Kabisa
Usikute hata baba yako nimemwajiri
Hata hilo pagale unalo kibwengo wewe
Wewe endelea kununuliwa TECNO na kuwekewa bando na Dayamondi uje kumsifiasifia humu , tushavuka level za kuona nyumba au gari ni deal....Hivyo vitu ni vya kawaida wala sio sifa ni basic needs....Siwezi kukuuliza wewe una nyumba au gari maana najua unapaswa kuwa navyo nitashangaa kama hauna ,ila kwa age yako inaonekana bado harufu ya maziwa ya mama hayajaisha vizuri mwilini.
Basi kuna vingi huvijui kuhusu huyu mwamba. Ujue vyote kwani wewe ni mtu wake wa karibu.Kuna tofauti ya nyumba na PAGALE.
Au unamaanisha MAPAGALE ya Mwananyamala aliyokuwa anavua watu? Nachojua Dayamondi ana nyumba moja(MADALE) na mapagale kadhaa!!
Wewe ni fankuro dialo madona ndio maana unasifia wanaume humu JF.Bro mie sio level hiyo uwe na adabu blalfaken
Basi kuna vingi huvijui kuhusu huyu mwamba. Ujue vyote kwani wewe ni mtu wake wa karibu.
Hayo umesema wewe na sina la kusema juu ya hilo.Basi Burj Khalifa na Trump Tower ni za Dayamondi.
Yaani kuambiwa ukweli ndiyo mimi nina wivu? Basi tufanye nina wivu, Diamond atanunua hiyo ndege for himself, wewe utafaidika na nini kwa hiyo ndege....umejiuliza hili?Una Wivu wa kijinga sana
Tafuta hela acha makasiriko Bwege wewe usiyekuwa na akili
Usituletee hasira zako za Maisha broo
Unga unalipa sanaWeek ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Mi nachojua mange anaenda vuna pesa nyingi tu za wabongo maana kwenye maisha yetu umbea kwanzaAkili za Mange na H baba, kuna uwezekano hata akinunua nyumba mtasema used.
Na sasa hivi Mange ana app, 80% ya ya contents ya app yake itakuwa maisha ya Diamond na familia yake na WCB nzima, yaani kwa kifupi hiyo app ya Mange ni sawa na kusema ya WCB.Ila kumchukia mtu husiye mjua kipaji na Mange kipaji hiko anacho na bahati mbaya anawaambukiza wengine.
Wengine anaogopa kuwasema sababu marafiki zake.