Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Leo tarehe 12 ndege imefika wapi??

Kijana watu wanaenda kwa plan wanasubiri kwanza issue ya Ray na Maluma ipoe Then ndo iletwe cz wakileta sasa hivi Topic itakuwa ni Ndege tu na Ujue bosss chibu yupo SA
 
Kununua ndege anaweza maana hata Manager wake alisema ndege sio lazima cash kwa installment tu ni kweli lakini pia nilimsikia akiongea kama nia hasa kutumia brand kama wasafi kukodisha ndege pia alikuwa ana maana kama itafanya biashara fulani kukodishwa hivi ikiwa haitumiki kikazi.

Ila hili linachangamoto zake kubwa tu unajuwa ndege sio kama gari unaingia mtaani ndege kuruka sehemu kwenda sehemu mpaka vibali na tunaambiwa ni gharama kubwa ndege kuwa chini kuliko kuruka matunzo ya ndege makubwa uki pack pale uwanja wa ndege tu kuna tozo daily.

Sijui kwa kweli nia yake ni ipi maana Rais tu kashindwa kuwa na private jet sababu changamoto ni nyingi. Tahadhari tu asifanye kutaka kukomoa wa watu mwisho dude likamkomoa yeye za kwetu tu yale madege tumechemka... tahadhari tu
 
Kijana watu wanaenda kwa plan wanasubiri kwanza issue ya Ray na Maluma ipoe Then ndo iletwe cz wakileta sasa hivi Topic itakuwa ni Ndege tu na Ujue bosss chibu yupo SA
Sawa mkuu nitarudi december 1 kuiona, naimani itakuwa imefika
 
Akili za Mange na H baba, kuna uwezekano hata akinunua nyumba mtasema used.

Na sasa hivi Mange ana app, 80% ya ya contents ya app yake itakuwa maisha ya Diamond na familia yake na WCB nzima, yaani kwa kifupi hiyo app ya Mange ni sawa na kusema ya WCB.Ila kumchukia mtu husiye mjua kipaji na Mange kipaji hiko anacho na bahati mbaya anawaambukiza wengine.

Wengine anaogopa kuwasema sababu marafiki zake.
Bado App haijaanza ila wewe umeshaona ni 80% ya contents zote?
 
Bado App haijaanza ila wewe umeshaona ni 80% ya contents zote?
Ndio maana nimesema "itakuwa......." najua app bado, ila ikikamilika 80% ya contents ZITAKUWA za Diamonds ,familia yake,watoto na ma-Ex wake pamoja na wasanii wa kwenye label yake.

Sasa nione mara ngapi wakati mange maswala ya Diamond anaya valia kibwebwe, Mange tokea nianze kumfahamu watu aliokuwa akiwaandama ni Makonda, Magu na Diamond, Magu hayupo, Makonda yupo nje ya siasa aliyebakia ni Mondi.

Mfano 👇👇
Screenshot_20211114-184521_Instagram~2.jpg
 
Ndio maana nimesema "itakuwa......." najua app bado, ila ikikamilika 80% ya contents ZITAKUWA za Diamonds ,familia yake,watoto na ma-Ex wake pamoja na wasanii wa kwenye label yake.

Sasa nione mara ngapi wakati mange maswala ya Diamond anaya valia kibwebwe, Mange tokea nianze kumfahamu watu aliokuwa akiwaandama ni Makonda, Magu na Diamond, Magu hayupo, Makonda yupo nje ya siasa aliyebakia ni Mondi.

Mfano [emoji116][emoji116]
View attachment 2010487
Hii hapa ni mdau aliccoment kumuuliza kama amemwona bi tukinao. Hilo ndo jibu lake. Na alidai ameona ila alimpotezea. Dai ameshapotea hakika. Peak yake imeshuka of which is normal..

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom