Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

POVUUUU mzebaba hii ni OMO au kreesoft [emoji16][emoji16]. Dogo pesa anayo mzebaba mbona mikataba ya ile wasafi tv & redio iliwekwa wazi dogo anamilia asilimia kibao tu.

Na gari limekuja kwa jina la kampuni anayomiliki yeye sio wasafi tv & redio bali ni ile wasafi ent. anayomiliki yeye.
Anapiga shows analipwa, anaimba analipwa, anapewa matangazo kibao kama ya pepsi na kutangaza rangi zile analipwa pesa ndefu. Punguza makasiko mzee utakufa siku si zako shauri yako.

Majobless ndo wanaocomment ujinga always
 
Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamondplatnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]

Diamond platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa

Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa

Kama Rozi Rozi tu ilichukua miaka 7 basi ndege tutarajie kuja kushuka 2050.
 
Huo Ndiyo Ukweli wewe GASHO.......Wivu wa nini? Anunue au asinunue haipungizi chochote kwangu.
Ukiendelea kumjibu unampa anachotaka, hayuko level yako kama ume-notice, anabwata kujipa umaarufu humu ila imeshindikana. Anaye bweka akiwa na kamba shingoni hana madhara.
 
Ukiendelea kumjibu unampa anachotaka, hayuko level yako kama ume-notice, anabwata kujipa umaarufu humu ila imeshindikana. Anaye bweka akiwa na kamba shingoni hana madhara.

Peleka upumbavu huko sas usuperstar wa JF nao ni usuperstar Achana akili za kifala Firauni wewe
 
Kupata hako kainternship wajiona uko kwa ajira we dogo [emoji16][emoji16].

Em wachana na mitandao muda wote kamnunulie bosi mihogo.

Bro tusichukuliane Poa maisha unayoishi wewe sio kama mim ndo nayoishi Broo Nilichokisomea akijafikia stage ya kuanza kutumwa mihogo
Kama wewe umezoea kutumwa mihogo ni wewe pumbavu Kabisa
Usikute hata baba yako nimemwajiri
 
Huo Ndiyo Ukweli wewe GASHO.......Wivu wa nini? Anunue au asinunue haipungizi chochote kwangu.

Gasho ni baba yako aliyemzaa mtoto mjinga na mpumbavu kama wewe ambaye una wivu na maendeleo ya watu Wengine
Bora wangezaa Nguruwe kuliko wewe
 
Back
Top Bottom