Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Mi si muumini wa ngonjera na kuelewa kwa haraka, nadhani nina tatizo kubwa.
Mtu aliyeishi nyumba moja na mama'ake kwa miaka kadhaa, Mario wa mama'ake humo humo, dada'ake na mume wa dada'ake humo humo, akaamua kwenda kupanga nyumba za wenzake HUKU mashabiki zake wakisema ana zaidi ya BILIONI moja, wakazidi kusema anamiliki kiwanda cha zile karanga, pafyumu na media company, kisha akanunua gari la zaidi ya bilioni moja, na sasa ananunua ndege sijui pesa ngapi ILA swali la msingi, ANAISHI WAPI na kwanini?