Anko shamte ndo atakua pilot?Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada [emoji1063]
Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa
Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
MmhSawa j lokole
Manifestation at its finest mkuu.alikuwa na ndoto na hatimae imetimia.. kusema kwingi huumba.. ame wish sana kuwa na ndege mwisho kaipata, ali wish sana kuna RR mwisho akaipata.. Hongera zake kwa kupambambani ndoto zake
Ndege si gari, ina taratibu zake nyingiMasikin tunampoteza msanii wetu kanunua ndege second hand ina tatizo la kuzima ikiwaangan stata yake ni manual sio automatic mpaka ruban awe mzoefu wa ku adjust window ingine hacki kwa pamoja la sivyo inatokea kama ya aliya
Kampun iliyomuuzia diamond ndege ndio iliyomuuzia aliya na mchezaji eminiliano sala
Masikin tunampoteza msanii wetu kanunua ndege second hand ina tatizo la kuzima ikiwaangan stata yake ni manual sio automatic mpaka ruban awe mzoefu wa ku adjust window ingine hacki kwa pamoja la sivyo inatokea kama ya aliya
Kampun iliyomuuzia diamond ndege ndio iliyomuuzia aliya na mchezaji eminiliano sala
Hana mshauri wa uchumi
Duh hongera sana kwake, hivi B13 kuna hata waziri ako nayo kwa account?
Bilioni 13 unatupia katika Treasury Bond ya 25 years unapata hela yako Safi kabisa kila mwaka si Chini ya 1.3 bilioni kila mwezi Milioni 100 Safi kabisa...!Hana mshauri wa uchumi
Nashukuru sana kwa kunielewaBilioni 13 unatupia katika Treasury Bond ya 25 years unapata hela yako Safi kabisa kila mwaka si Chini ya 1.3 bilioni kila mwezi Milioni 100 Safi kabisa...!
Ununuzi wa ndege ni kuongeza expenses tu za maisha