Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Ndege si bei ghali tatizo ni maintanance cost
 
Well deserved...haijalishi yakwake au ya kukodi...mondi kaibadili bongo kwenye ramani ya mziki na heshima zote tunampa (japo mi team kibakuli)

Fact bro
Tatizo watu waliokosa Direction ya Maisha ndo always wanaponda na kutukana hovyo
 
Reactions: Qwy

Fact bro
 
Ha ha mtu ananunua magari used from bongo ndio anunue ndege?

Ukute hapo ulipo hata uwezo wa kumiliki guta huna ila ni kuponda tu
Baba yako wewe ameweza kumiliki brand new
Akili za watu Maskini ni hovyo sana
 
Reactions: Qwy
Yaani una akili finyu sana kijana, sawa Diamond atanunua hiyo ndege for himself na familia yake, wewe unafaidika na nini?

Una Wivu wa kijinga sana
Tafuta hela acha makasiriko Bwege wewe usiyekuwa na akili
Usituletee hasira zako za Maisha broo
 

Achana na hao wajinga muulize yeye hata kibanda cha kuku anacho
 
Kijana anastahili kabisa kufanya anayofanya, ni watu wasiompenda ndiyo hupinga kila kijana huyu analofanya. Na pia maneno ya vijiweni na wapuuzi kadhaa waliopata majina kupitia huyu kijana ndiyo wanaaminisha raia wenye uwezo mdogo kuwa kijana si lolote katika swala la cash. Lakini mambo mengine yanahitaji muda kuelewa na kuyakubali, kiufupi kijana anamchango mkubwa katika tasnia ya muziki Tanzania mpka ilipofika sasa. Na wasanii wenyewe wanalijua hilo ingawa ni mara chache kulisema hadharani. Mm naisubir tu nione mapokezi ya ndege hiyo.
 

Fact bro
Majitu majinga na majitu aliyotoka kwenye familia maskini always ndo wanaopingaga efforts za watu wengine
Wao wanataka mtu awe vile vile asiendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…