Tetesi: ZA NDANI KABISA: Wachezaji wafuatao kuelekea Simba

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Kuelekea dirisha dogo Disembe 15, licha ya tetesi kuwa mitaa ya Msimbazi hali si hali, habari zikufikie kuwa wachezaji hawa wafuatao wanaelekea Simba SC.

~ Lobi Manzoki 100% done.

~ Luis Miquesson 75% amekubali kupunguza mshahahara.

~ Saido Ntibanzokiza 51% kuna mambo ya kukaa kambini na mshahara.

~ Mudathir Yahaya 45% kuna vitu kidogo havijakaa sawa.


@Mbaban December 13,2022.
 
Je, Mo yupo tayari kutoa milioni 600 za kumrejesha huyo Luis Miquesson Simba?

Je, usajili wa Mudathir Yahya una tofauti gani na ule wa Victor Akpan?

Je, Saido Ntibazonkiza na yeye ni mchezaji kweli wa kuitoa timu hapo ilipo?

Je, mkataba wa huyo Lobi Manzoki na hiyo timu yake ya Uchina unafahamika kiasi cha kuweza kumsajili kwenye hili dirisha dogo?

Au ndiyo mashabiki wanaendelea kuchezewa shere na viongozi wao!!


NB: timu isipofanya usajili wa kueleweka kwenye hili dirisha dogo, basi nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi, haikwepeki.
 
unajikuta mjaaaanja..! KUMBE NI KAMA MBUZI MZEE AKILA MAJANI YA MIHOGO.
 
"Je, Saido Ntibazonkiza na yeye ni mchezaji kweli wa kuitoa timu hapo ilipo?"

Huyu amezeeka.
 
Mwamedi janja janja sana hiyo made in Bombay.
 
Usisahau usajili ni kamari. Wapo majina makubwa wanasajiliwa wakashindwa kutamba na wapo majina madogo wakatamba.

Ulitegemea Makambo wa Yanga angechemsha licha ya kuwa ameshawahi kucheza Yanga hapo kabla na ligi anaifahamu.!?
 
We jamaa unaipenda sana simba
 
Tuje kule kwako je kambole kadeliver kile mlichotarajia? Kisinda? Sogne au ni nyani haoni kundule ndugu yangu
 
UMENIKUMBUSHA NYIMBO YA SUNDAY SCHOOL

JIPE.MOYOO JIPE.MOYOOO
JIPE.MOYOI UTASHINNDAAAA
 
Umejibu kisomi sana mzee mwenzangu.. ila kutokana na umbumbumbu wao hawawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…