Tetesi: ZA NDANI KABISA: Wachezaji wafuatao kuelekea Simba

Tetesi: ZA NDANI KABISA: Wachezaji wafuatao kuelekea Simba

Ila huyo Manzoki mnamchezesha mno mdomoni mpk aje acheze hapa atakua ameshakua screpa.
 
Ila huyo Manzoki mnamchezesha mno mdomoni mpk aje acheze hapa atakua ameshakua screpa.
Umeona eeh... Yaani haipiti siku utasikia manzoki manzoki... Utadhani ni mchezaji Bora kama Messi
 
La kwenu hata la kupewa liko wapi?

Endeleeni kudandia Costa za manzese
Coaster ni zetu tumenunua kwa pesa yetu kama club
Je lile tata ni la kwenu au mdhamini wenu ambae ni gsm? Fungua bongo utopolo wewe
 
Coaster ni zetu tumenunua kwa pesa yetu kama club
Je lile tata ni la kwenu au mdhamini wenu ambae ni gsm? Fungua bongo utopolo wewe
Costa za manzese si hata feitoto ananunua?
Zina thamani gani sasa?
 
Unamsea mwanaume mwenzio?
Nilidhani ungesema hata wewe uwezo unao kumbe apeche alolo shez kabsa
Wewe umesema macosta ya kwenu umenunua? Vitu vya wanaume wenzako unajipendekeza

Utaolewa tahira wewe
 
Wewe umesema macosta ya kwenu umenunua? Vitu vya wanaume wenzako unajipendekeza

Utaolewa tahira wewe
Alieleta habari za coaster humu ndani nani kama sio wewe? Unazidi kudhihirisha jinsi gani ulivyo nyani na mbwa unapenda kubweka bweka hovyo
Katoe mwiko kwanza huko nyuma unakuchanganya akili
 
Niumie na tetesi za manzoki kuacha hela ndefu china kuja kucheza liti!?..ni ujinga kuamini labda Kama manzoki kavunjiwa mkataba na wachina
Kwani hata akicheza ihefu shida iko wapi si maisha yake? Au ulitaka habari ziwe anakuja utopoloni ungefurahi
Nyani kabisa wewe tena wa luc eymael
 
Kwani hata akicheza ihefu shida iko wapi si maisha yake? Au ulitaka habari ziwe anakuja utopoloni ungefurahi
Nyani kabisa wewe tena wa luc eymael
Anatafuta hela siyo kufurahisha watu,we endelea na kibu
 
Usisahau usajili ni kamari. Wapo majina makubwa wanasajiliwa wakashindwa kutamba na wapo majina madogo wakatamba.

Ulitegemea Makambo wa Yanga angechemsha licha ya kuwa ameshawahi kucheza Yanga hapo kabla na ligi anaifahamu.!?

Nikikumbuka Hazard, sina hamu na mpira
 
Back
Top Bottom