3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Mbna kambole yupo avic town alionekana siku wa kumuaga yule daktari wenu?Ndiyo maana baada ya kuona Lazarus Kambole hayuko fit kwa 100%, tulimpiga kushoto! Na nafasi kuchukuliwa na Tuisila Kisinda, ambaye mwanzoni mwa msimu alianza kwa kujikongoja! Ila kwa sasa gari limeshaanza kuchanganya. Anafunga magoli, anatoa assist!! Ameanza kucheza kitimu! Ana utulivu, nk.
Na kuhusu Yacouba Sogne; huyu hana mjadala. Alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye timu. Ni majeraha tu ya muda mrefu ndiyo yaliyomtoa kikosini.
Any question please...!!