Tetesi: ZA NDANI KABISA: Wachezaji wafuatao kuelekea Simba

Tetesi: ZA NDANI KABISA: Wachezaji wafuatao kuelekea Simba

Hakuna uzi wa Simba uwekwe asichangie..any way kuna muda anachangia vina mantiki...ila mara nyingi ni kupondea
Utadhani kaweka notification,ukija tu uzi wa Simba unamuona huyu hapa na style yake ya maandishi ya Italic [emoji3][emoji3].
 
Ndiyo maana baada ya kuona Lazarus Kambole hayuko fit kwa 100%, tulimpiga kushoto! Na nafasi kuchukuliwa na Tuisila Kisinda, ambaye mwanzoni mwa msimu alianza kwa kujikongoja! Ila kwa sasa gari limeshaanza kuchanganya. Anafunga magoli, anatoa assist!! Ameanza kucheza kitimu! Ana utulivu, nk.

Na kuhusu Yacouba Sogne; huyu hana mjadala. Alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye timu. Ni majeraha tu ya muda mrefu ndiyo yaliyomtoa kikosini.

Any question please...!!
Kisinda ana magoli mangapi hayo anayofunga kwenye ligi? Na ana assist ngapi kwenye ligi ya NBC?
 
Je, Mo yupo tayari kutoa milioni 600 za kumrejesha huyo Luis Miquesson Simba?

Je, usajili wa Mudathir Yahya una tofauti gani na ule wa Victor Akpan?

Je, Saido Ntibazonkiza na yeye ni mchezaji kweli wa kuitoa timu hapo ilipo?

Je, mkataba wa huyo Lobi Manzoki na hiyo timu yake ya Uchina unafahamika kiasi cha kuweza kumsajili kwenye hili dirisha dogo?

Au ndiyo mashabiki wanaendelea kuchezewa shere na viongozi wao!!

NB: timu isipofanya usajili wa kueleweka kwenye hili dirisha dogo, basi nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi, haikwepeki.
maswali muhimu haya, shida ni kwamba Watz hatujazoea kujibu maswali kama haya
 
Ndiyo maana baada ya kuona Lazarus Kambole hayuko fit kwa 100%, tulimpiga kushoto! Na nafasi kuchukuliwa na Tuisila Kisinda, ambaye mwanzoni mwa msimu alianza kwa kujikongoja! Ila kwa sasa gari limeshaanza kuchanganya. Anafunga magoli, anatoa assist!! Ameanza kucheza kitimu! Ana utulivu, nk.

Na kuhusu Yacouba Sogne; huyu hana mjadala. Alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye timu. Ni majeraha tu ya muda mrefu ndiyo yaliyomtoa kikosini.

Any question please...!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti kisinda gari limewaka dah
 
Twambie na wanaondoka wakiongozwa na Inonga
 
Back
Top Bottom