Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Hizo sababu hazina mashiko, alufu Sabaya ndio bora kuliko Chalamila? Mtoa taarifa wako ni mwongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba chalamila ni mgonjwa wa akili bila shaka yoyoteNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.
Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma kinabainisha pasipo shaka kuwa mama amemchoka Chalamila, hasa kwa vitimbi vyake vya mara kwa mara vinavyochochea chuki kati ya serikali na wananchi. “Tukumbuke kwamba wakati Chalamila anaapishwa kwa mara ya pili baada ya hapo awali kutupwa nje ya mfumo, mama alisema kuwa mtu huyu ni mlipukaji”. Alisikika akisema kigogo mmoja aliye karibu na utawala wa juu. “Na hata baada ya kuonywa lakini bado ameendelea kulipuka”. Aliongeza.
Taarifa hizo zinafafanua matamshi ya Chalamila ya hivi karibuni yanayoonesha kukosa umakini. Moja ya matamshi haya ni wakati wananchi wa Dar walipoingiliwa na mafuriko yaliyoharibu mali na kuua baadhi ya raia. Chalamila, akiwa mteule wa Rais, alisikika akiwabeza na kusisitiza kuwa Dar hakuna mafuriko na kwamba hao waliokumbwa na mafuriko wamejitakia wenyewe.
Tukio la pili ni lile ambalo aliwabeza wanafunzi wanaofeli ambapo alisikika akiwakejeli kwamba na wao wanaopata zero kwenye mitihani wana ‘vipaji maalumu’ (vya kufeli). Aliendelea kuwataka watendaji wa NECTA wawe wanawatambua kama vile wanavyowatambua wanafunzi wanaofaulu vizuri na kuchaguliwa kwenda shule za vipaji.
Kana kwamba hilo halitoshi, hivi majuzi ndugu Chalamila alisikika akiwataka wananchi kujichukulia sheria mikononi dhidi ya vibaka wanaovunja nyumba na kuiba. Hii inatafsiriwa kwamba Chalamila anawachochea wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kwa mujibu wa sheria.
Haya matendo machache ya ulipukaji wa ndugu Chalamila, yanayochochea uvunjivu wa sheria na kuwachonganisha wananchi na serikali yao, yametosha kabisa kumfanya mama amtupe nje ya mfumo wa serikali kwani ameshindwa kujirekebisha hata baada ya kupewa nafasi kwa mara ya pili.
Hata hivyo, kurudishwa kwa Ole Sabaya kwenye uongozi inasemekana kumechagizwa na pacha wake, ndugu Paul Makonda, aliyempigia chapuo kwa mama. Wawili hawa walikuwa na nguvu kubwa sana kipindi cha uongozi wa Magufuli hadi kufikia kufanya jambo lolote bila kukemewa wala kuchukuliwa hatua zozote na mteuzi wao.
Aidha, baada ya timu ya Magufuli (Sukuma Gang) kuanza kurejeshwa uongozini taratibu, wanataka kutengeneza mtandao ndani ya serikali ili ifikapo 2025 kama hawatamuelewa mama watafute mtu wao watakayemuunga mkono kwenye uchaguzi.
Ndio maana Makonda amefanya juu chini kumshawishi mama amrejeshe Sabaya uongozini kwa kuwa wawili hawa wana ushawishi mkubwa sana kiuongozi ili waweze kujiimarisha na kuwa na nguvu ya pamoja itakayowafanya kutembea kifua mbele mwaka 2025.
MAONI YANGU
Kumrejesha Ole Sabaya uongozini wakati bado makosa aliyoshitakiwa kwayo hayajasahaulika miongoni mwa wananchi, ni kosa kubwa sana la kiufundi ambalo amelifanya mama. Sabaya akiungana na Makonda uongozini kuna hatari ya mama kupata upinzani mkubwa sana ndani ya chama ifikapo 2025.
Kumbuka wawili hawa ni kama au zaidi ya chawa. Hawaaminiki hata kidogo na wana tabia ya kiundumilakuwili. Wao hutanguliza maslahi binafsi mbele kuliko kitu chochote. Ndio maana wakati wa uongozi wa Magufuli waliutumia zaidi kujinufaisha kibinafsi badala ya kumsaidia Rais kuwatumikia wananchi.
Ningekuwa mimi ndiye mshauri wa mama nisingemrejesha uongozini Ole Sabaya kwa haraka kiasi hiki ilhali bado wananchi aliowadhulumu mali na fedha bado wana maumivu makubwa mioyoni mwao.
Nawasilisha.
Mkuu TPaul, kichwa cha habari yako kilipaswa kuanza na neno "Tetesi" kisha kifuatie hicho kifumgu cha maneno au sentensi ambayo umeitumia. Sabaya Jr huyu unayemzungumzia kutokana na historia yake, labda ateuliwe kwa sababu maalumu za ujasiri wa kutekeleza nia fulami ovu iliyojificha lakini si kutokana na uadilifu wake.Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.
Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma kinabainisha pasipo shaka kuwa mama amemchoka Chalamila, hasa kwa vitimbi vyake vya mara kwa mara vinavyochochea chuki kati ya serikali na wananchi. “Tukumbuke kwamba wakati Chalamila anaapishwa kwa mara ya pili baada ya hapo awali kutupwa nje ya mfumo, mama alisema kuwa mtu huyu ni mlipukaji”. Alisikika akisema kigogo mmoja aliye karibu na utawala wa juu. “Na hata baada ya kuonywa lakini bado ameendelea kulipuka”. Aliongeza.
Taarifa hizo zinafafanua matamshi ya Chalamila ya hivi karibuni yanayoonesha kukosa umakini. Moja ya matamshi haya ni wakati wananchi wa Dar walipoingiliwa na mafuriko yaliyoharibu mali na kuua baadhi ya raia. Chalamila, akiwa mteule wa Rais, alisikika akiwabeza na kusisitiza kuwa Dar hakuna mafuriko na kwamba hao waliokumbwa na mafuriko wamejitakia wenyewe.
Tukio la pili ni lile ambalo aliwabeza wanafunzi wanaofeli ambapo alisikika akiwakejeli kwamba na wao wanaopata zero kwenye mitihani wana ‘vipaji maalumu’ (vya kufeli). Aliendelea kuwataka watendaji wa NECTA wawe wanawatambua kama vile wanavyowatambua wanafunzi wanaofaulu vizuri na kuchaguliwa kwenda shule za vipaji.
Kana kwamba hilo halitoshi, hivi majuzi ndugu Chalamila alisikika akiwataka wananchi kujichukulia sheria mikononi dhidi ya vibaka wanaovunja nyumba na kuiba. Hii inatafsiriwa kwamba Chalamila anawachochea wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kwa mujibu wa sheria.
Haya matendo machache ya ulipukaji wa ndugu Chalamila, yanayochochea uvunjivu wa sheria na kuwachonganisha wananchi na serikali yao, yametosha kabisa kumfanya mama amtupe nje ya mfumo wa serikali kwani ameshindwa kujirekebisha hata baada ya kupewa nafasi kwa mara ya pili.
Hata hivyo, kurudishwa kwa Ole Sabaya kwenye uongozi inasemekana kumechagizwa na pacha wake, ndugu Paul Makonda, aliyempigia chapuo kwa mama. Wawili hawa walikuwa na nguvu kubwa sana kipindi cha uongozi wa Magufuli hadi kufikia kufanya jambo lolote bila kukemewa wala kuchukuliwa hatua zozote na mteuzi wao.
Aidha, baada ya timu ya Magufuli (Sukuma Gang) kuanza kurejeshwa uongozini taratibu, wanataka kutengeneza mtandao ndani ya serikali ili ifikapo 2025 kama hawatamuelewa mama watafute mtu wao watakayemuunga mkono kwenye uchaguzi.
Ndio maana Makonda amefanya juu chini kumshawishi mama amrejeshe Sabaya uongozini kwa kuwa wawili hawa wana ushawishi mkubwa sana kiuongozi ili waweze kujiimarisha na kuwa na nguvu ya pamoja itakayowafanya kutembea kifua mbele mwaka 2025.
MAONI YANGU
Kumrejesha Ole Sabaya uongozini wakati bado makosa aliyoshitakiwa kwayo hayajasahaulika miongoni mwa wananchi, ni kosa kubwa sana la kiufundi ambalo amelifanya mama. Sabaya akiungana na Makonda uongozini kuna hatari ya mama kupata upinzani mkubwa sana ndani ya chama ifikapo 2025.
Kumbuka wawili hawa ni kama au zaidi ya chawa. Hawaaminiki hata kidogo na wana tabia ya kiundumilakuwili. Wao hutanguliza maslahi binafsi mbele kuliko kitu chochote. Ndio maana wakati wa uongozi wa Magufuli waliutumia zaidi kujinufaisha kibinafsi badala ya kumsaidia Rais kuwatumikia wananchi.
Ningekuwa mimi ndiye mshauri wa mama nisingemrejesha uongozini Ole Sabaya kwa haraka kiasi hiki ilhali bado wananchi aliowadhulumu mali na fedha bado wana maumivu makubwa mioyoni mwao.
Nawasilisha.
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.

Kuingozwa na criminal itakuwa maajabu ya 7 lkn kwa ccm inawezekana.Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.

Na yeye ajiandae kuiwacha dsm kwa aibuWafanyabiashara wajiandae kukamuliwa fedha kwa nguvu.
Ccm ni kichaka cha majambazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sabaya huyuhuyu jambazi?
Inawezekana lakin ukizingatia na uwezo na ilmu ahera ya mteuaji[emoji1787][emoji1787]
CHUKUA CHAKO MAPEMAKuna mambo mengine inabidi mboga mboga wajitafakari Sana, kwa hiyo majambazi wanarudi ofisini rasmi [emoji848][emoji848] watu walio mdhihaki hadharani watakoma kuringa [emoji23][emoji23]
Amekutuma uje utest mitambo, upate reaction ya wananchi? Mwambie hafai kuwa kiongozi kwenye taifa linaloheshimu utu wa watu.Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.
Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma kinabainisha pasipo shaka kuwa mama amemchoka Chalamila, hasa kwa vitimbi vyake vya mara kwa mara vinavyochochea chuki kati ya serikali na wananchi. “Tukumbuke kwamba wakati Chalamila anaapishwa kwa mara ya pili baada ya hapo awali kutupwa nje ya mfumo, mama alisema kuwa mtu huyu ni mlipukaji”. Alisikika akisema kigogo mmoja aliye karibu na utawala wa juu. “Na hata baada ya kuonywa lakini bado ameendelea kulipuka”. Aliongeza.
Taarifa hizo zinafafanua matamshi ya Chalamila ya hivi karibuni yanayoonesha kukosa umakini. Moja ya matamshi haya ni wakati wananchi wa Dar walipoingiliwa na mafuriko yaliyoharibu mali na kuua baadhi ya raia. Chalamila, akiwa mteule wa Rais, alisikika akiwabeza na kusisitiza kuwa Dar hakuna mafuriko na kwamba hao waliokumbwa na mafuriko wamejitakia wenyewe.
Tukio la pili ni lile ambalo aliwabeza wanafunzi wanaofeli ambapo alisikika akiwakejeli kwamba na wao wanaopata zero kwenye mitihani wana ‘vipaji maalumu’ (vya kufeli). Aliendelea kuwataka watendaji wa NECTA wawe wanawatambua kama vile wanavyowatambua wanafunzi wanaofaulu vizuri na kuchaguliwa kwenda shule za vipaji.
Kana kwamba hilo halitoshi, hivi majuzi ndugu Chalamila alisikika akiwataka wananchi kujichukulia sheria mikononi dhidi ya vibaka wanaovunja nyumba na kuiba. Hii inatafsiriwa kwamba Chalamila anawachochea wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kwa mujibu wa sheria.
Haya matendo machache ya ulipukaji wa ndugu Chalamila, yanayochochea uvunjivu wa sheria na kuwachonganisha wananchi na serikali yao, yametosha kabisa kumfanya mama amtupe nje ya mfumo wa serikali kwani ameshindwa kujirekebisha hata baada ya kupewa nafasi kwa mara ya pili.
Hata hivyo, kurudishwa kwa Ole Sabaya kwenye uongozi inasemekana kumechagizwa na pacha wake, ndugu Paul Makonda, aliyempigia chapuo kwa mama. Wawili hawa walikuwa na nguvu kubwa sana kipindi cha uongozi wa Magufuli hadi kufikia kufanya jambo lolote bila kukemewa wala kuchukuliwa hatua zozote na mteuzi wao.
Aidha, baada ya timu ya Magufuli (Sukuma Gang) kuanza kurejeshwa uongozini taratibu, wanataka kutengeneza mtandao ndani ya serikali ili ifikapo 2025 kama hawatamuelewa mama watafute mtu wao watakayemuunga mkono kwenye uchaguzi.
Ndio maana Makonda amefanya juu chini kumshawishi mama amrejeshe Sabaya uongozini kwa kuwa wawili hawa wana ushawishi mkubwa sana kiuongozi ili waweze kujiimarisha na kuwa na nguvu ya pamoja itakayowafanya kutembea kifua mbele mwaka 2025.
MAONI YANGU
Kumrejesha Ole Sabaya uongozini wakati bado makosa aliyoshitakiwa kwayo hayajasahaulika miongoni mwa wananchi, ni kosa kubwa sana la kiufundi ambalo amelifanya mama. Sabaya akiungana na Makonda uongozini kuna hatari ya mama kupata upinzani mkubwa sana ndani ya chama ifikapo 2025.
Kumbuka wawili hawa ni kama au zaidi ya chawa. Hawaaminiki hata kidogo na wana tabia ya kiundumilakuwili. Wao hutanguliza maslahi binafsi mbele kuliko kitu chochote. Ndio maana wakati wa uongozi wa Magufuli waliutumia zaidi kujinufaisha kibinafsi badala ya kumsaidia Rais kuwatumikia wananchi.
Ningekuwa mimi ndiye mshauri wa mama nisingemrejesha uongozini Ole Sabaya kwa haraka kiasi hiki ilhali bado wananchi aliowadhulumu mali na fedha bado wana maumivu makubwa mioyoni mwao.
Nawasilisha.
Mama Samia ni muislamu na tena ni mchaMungu. Anajua nani kiongozi na nani Hafai kuwa kiongoziNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.

Si alifutiwa kesi zoteAlipelekwa mahakamani kwa makosa gani mkuu?