Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Ukweli ni kwamba chalamila ni mgonjwa wa akili bila shaka yoyote
 
Sabaya ni mfungwa hata kama anatumikia kifungo cha nje, kwa kuandikwa kwake hapa, sitegemei apewe hicho cheo hata kama huo mpango ulikuwepo, mambo kwake yameshaharibika.

Hata mleta mada nikikusoma kwa makini naona umeshamsagia kunguni pia, kusema akipewa cheo atafanya mpango wa kumuondoa Samia kwa kushirikiana na Makonda, sijui nani alikwambia huo mpango wao na Makonda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu TPaul, kichwa cha habari yako kilipaswa kuanza na neno "Tetesi" kisha kifuatie hicho kifumgu cha maneno au sentensi ambayo umeitumia. Sabaya Jr huyu unayemzungumzia kutokana na historia yake, labda ateuliwe kwa sababu maalumu za ujasiri wa kutekeleza nia fulami ovu iliyojificha lakini si kutokana na uadilifu wake.
 


Hatuwezi kuwa nchi ya wahalifu, hii ni sawa na kuwatusi viongozi wa ccm, Haya mahalifu labda yapewe vyeo ccm, sio kwenye public office, ever, forever again.
 
Kuingozwa na criminal itakuwa maajabu ya 7 lkn kwa ccm inawezekana.
 
Amekutuma uje utest mitambo, upate reaction ya wananchi? Mwambie hafai kuwa kiongozi kwenye taifa linaloheshimu utu wa watu.
 
Kwa chama hiki hakuna lisilo wezekana, na sinto shangaa hata Scoba akipata uteuzi...🤗
 
Mama Samia ni muislamu na tena ni mchaMungu. Anajua nani kiongozi na nani Hafai kuwa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…