Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ccm wanalindana hawatupaniMakonda ni Mkuu wa mkoa gani sasa hivi? Usije ukawa unaongelea msemaji wa chama fulani...Kuna Mtaalamu mmoja ashasema mjinga mmoja ni mjinga na wajinga 10 ni wajinga 10 ila wakishavuka kama 1500 ujue hicho ni Chama Cha Siasa, kwahiyo kwa tafsir hiyo hicho Chama kinaweza kumteua mjinga mwenzao kuwa kiongozi wa hicho kikundi cha wajinga.
Wewe ni Mtanzania?Sabaya ni panya kama panya wengine waliojaa ndani ya CCM. Kwani akirejeshwa madarakani wewe kinakuuma nini? Kaa utulie panya mwenzenu arejeshwe madarakani msaidiane kutafuna keki ya taifa. Mnawatawala misukule hamna haja ya kugombea keki. Kuleni kwa nafasi bila kubaniana.
Tunamtaka na yule ex Mara RC mkulima maarufu wa nyanyaMmeanza, Chalamila is better, na hata kunenge arudishwe na yule mama wa kigoma hata queen wa Manyara. Ikishindwa kupata viongozi si Bora watutupie lijamaa linaitwa sukuma, hawana watu Tena hayo majamaa
Mahakama imemkuta hana hatia mkuu. Alisingiziwa na Mwendazake.Sabaya ni mfungwa hata kama anatumikia kifungo cha nje, kwa kuandikwa kwake hapa, sitegemei apewe hicho cheo hata kama huo mpango ulikuwepo, mambo kwake yameshaharibika.
Kumbuka makonda hakusimamishwa kizimbani..Km Makonda amerudi kwenye system, ndo ishindikane kwa Sabaya?
Baba ake c kawa kiongozi wa chama mkoa wa Arusha. Hustukii tyuuh
Kwa nchi hii siwezi shangaaJambazi linarudi tena kwa nguvu mpya eee.
Sawa mkuuWakati utaongea mkuu. Wiki ijayo sio mbali.
Nasubiria kuona katiba ikivunjwa kwa mara nyingine kwa interests za mboga mboga😂Huwa wanasema aliyehukumiwa kwa kosa la jinai hapaswi kuwa mtumishi wa umma....Sabaya ni jambazi lilipaswa kuwa gerezani
Huyu ni mtu asiyetafakari mambo kabla ya kuongea kama alivyokuwa RC Chipungahelo miaka ya 90sKana kwamba hilo halitoshi, hivi majuzi ndugu Chalamila alisikika akiwataka wananchi kujichukulia sheria mikononi dhidi ya vibaka wanaovunja nyumba na kuiba. Hii inatafsiriwa kwamba Chalamila anawachochea wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kwa mujibu wa sheria.