Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

Usingeweka maelekezo mengi ningeamini kuwa 100% true maana CCM wote ni wasafi.
Ila kwa maelezo mengi nimegundua kuwa hii ni campaign iliyoanzia juu.
Acheni kuchaguana vima nyie
 
Makonda ni Mkuu wa mkoa gani sasa hivi? Usije ukawa unaongelea msemaji wa chama fulani...Kuna Mtaalamu mmoja ashasema mjinga mmoja ni mjinga na wajinga 10 ni wajinga 10 ila wakishavuka kama 1500 ujue hicho ni Chama Cha Siasa, kwahiyo kwa tafsir hiyo hicho Chama kinaweza kumteua mjinga mwenzao kuwa kiongozi wa hicho kikundi cha wajinga.
Ccm wanalindana hawatupani
 
Sabaya ni panya kama panya wengine waliojaa ndani ya CCM. Kwani akirejeshwa madarakani wewe kinakuuma nini? Kaa utulie panya mwenzenu arejeshwe madarakani msaidiane kutafuna keki ya taifa. Mnawatawala misukule hamna haja ya kugombea keki. Kuleni kwa nafasi bila kubaniana.
Wewe ni Mtanzania?
 
Mmeanza, Chalamila is better, na hata kunenge arudishwe na yule mama wa kigoma hata queen wa Manyara. Ikishindwa kupata viongozi si Bora watutupie lijamaa linaitwa sukuma, hawana watu Tena hayo majamaa
Tunamtaka na yule ex Mara RC mkulima maarufu wa nyanya
 
Hatushangai majambazi kupewa vyeo, ndo ccm yetu hiyo Kwao Madaraka ni muhimu kuliko uadilfu na maendeleo
 
Hatushangai majambazi kupewa vyeo, ndo ccm yetu hiyo Kwao Madaraka ni muhimu kuliko uadilfu na maendeleo
CCM ni ukoo wa panya....kila mtu mi jambazi kuanzia babu hadi kitukuu.
 
Ukweli ni kwamba chalamila ni mgonjwa wa akili bila shaka yoyote
Ndio maana mama kamsoma mapema ameamua kumuondoa na kumuweka comrade Ole Sabaya.
 
Sabaya ni mfungwa hata kama anatumikia kifungo cha nje, kwa kuandikwa kwake hapa, sitegemei apewe hicho cheo hata kama huo mpango ulikuwepo, mambo kwake yameshaharibika.
Mahakama imemkuta hana hatia mkuu. Alisingiziwa na Mwendazake.
 
Kana kwamba hilo halitoshi, hivi majuzi ndugu Chalamila alisikika akiwataka wananchi kujichukulia sheria mikononi dhidi ya vibaka wanaovunja nyumba na kuiba. Hii inatafsiriwa kwamba Chalamila anawachochea wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu badala ya kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kwa mujibu wa sheria.
Huyu ni mtu asiyetafakari mambo kabla ya kuongea kama alivyokuwa RC Chipungahelo miaka ya 90s
 
Back
Top Bottom