mambo_safi
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 176
- 440
- Thread starter
- #21
Hayo yote nimeyafanya zaidi ya miaka 20 bado bilabilaBe specific unataka nini, mwambie
Isaya 43:26.
26. Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.
Lakini pia yeye ni Baba usisahau hili
Waebrania 11:6.
6. Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.
