Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Inategemea Ndugu wala usijumlishe na kuhitimishaNdugu jamani🥲 ndio maana wazungu hawana mambo ya undugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea Ndugu wala usijumlishe na kuhitimishaNdugu jamani🥲 ndio maana wazungu hawana mambo ya undugu
Pole sana mkuu😭😭😭😭😭😭😭😭
Sana..daahAlikuwa na bonge la vocal.
Hicho KIJIKO unachokiona, baada ya kula kwa MKONO!Sung in Zulu)
Chorus:
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears beloved, here it comes)
Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears beloved, here it comes)
(Chorus)
Phezulu, eNkosiniKuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
(Chorus)
Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears off loved one, here it comes)
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Mchawi ndugu. Paka anatumwa tuNdugu jamani🥲 ndio maana wazungu hawana mambo ya undugu
Tupo pamoja Mkuu katika safari ya uzee[emoji23]Nimeanza kuzeeka aisee hata simjui, yaani niko bize na maisha, maana kila mahali naona taarifa za kifo chake ila simjui...
Kwenye wimbo wa Loliwe anavyoshusha na kupandisha sauti ni uwezo wa kiwango cha juu mno.Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi.
Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35.
Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa wimbo wake "Loliwe".
Wimbo huu uliwahi kunisaidia katika nyakati ngumu.
To be honest with you. Taarifa ya kifo cha Zahara imefanya nafsi yangu iwe troubled kama nafsi ya Yesu ilivyokuwa troubled alipopewa taarifa za kifo cha rafiki yake Lazaro.
Asante Mungu kwa kuipa dunia zawadi ya kipaji kikubwa kama Zahara.
LALA NGOXOLO ZAHARA.
Update: Inadaiwa chanzo cha kifo chake ni multiple organ failure iliyo sababishwa na yeye kulishwa sumu na mmoja kati ya wanafamilia mara baada ya Zahara kutolewa mahari..
Taarifa nyingine inadai kwamba Zahara alilishwa sumu ya kichawi " muthi" kwenye chakula wakati ya sherehe ya kulipa mahari yake.
Duh kwamba kuna mwanafamilia alichukia kuona Zahara katolewa mahari? Just like that? Ooh please God protect your children from evil.
---
View attachment 2839995
Tasnia ya Burudani nchini humo imepata pigo lingine kutokana taarifa za kifo cha Mwimbaji Bulelwa Mkutukana maarufu Zahara (35) baada ya vifo vya AKA Februari 10, na CostaTitch, Machi 11, 2023.
Taarifa zimeeleza kuwa Kifo cha Zahara aliyetamba na nyimbo mbalimbali zikiwemo Loliwe' na Phendula kimetokea katika Hospitalini Jijini Johannesburg alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa takriban Wiki 2. Pia kuna taarifa kuwa maradhi hayo yalisababishwa na sumu aliyowekewa na mmoja wa Mwanafamilia katika Sherehe ya baada ya kutolewa Mahari.
Vyombo vya Habari nchi humo vimeripoti kuwa siku chache kabla ya Kifo cha Zahara, Dada zake walichukua Kadi zake za Benki na kwenda 'Shopping' huku ndugu yao akipigania uhai wake Hospitali.
Enzi za Uhai wake Zahara aliwahi kuja Tanzania Oktoba 2018 ambapo alitoa burudani Jukwaa moja na Juliana Kanyomozi wa Uganda, na LadyJayDee katika Tamasha la Vocals Night liliondaliwa na Lady JayDee.
Kuna mwana juzi hapa alileta uzi hapa sikumbuki heading yake vizuri lkn alikuwa akipinga hisia za ya kwamba ukitajirika watu wako wa karibu wana kuchukia (kwamba siyo kweli) lkn hapa kwa ZAHARA wakati akipigania uhai ndunguze wakampokonya kadi za bank.Duh imekuaje tena! Kama ni kweli basi hii dunia INA Mambo mengi magnum.
Kwahio hatimae ule wimbo wake umetimia? Niliupenda Hadi nikatafuta maana ya mashairi yake, The Train Is coming, dah kwahio Treni imefika kwake? Loliwe
Generally waluguru ni wafupi, lakini kuna warefu pia.Inategemea Ndugu wala usijumlishe na kuhitimisha