TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

Ma-dr Hawa ni wa pekee,wameona uchawi kwa vipimo vya kisayansi,. Mungu amrehemu dada huyu,sauti yake nzuri as if ana miaka 17,

Naendelea kuamini south Africa Wana roho mbaya, ni baada ya kusoma nyuzi mbili za Hawa jamaa ndani ya wiki Moja,,,

Ntawahusia wanangu hata maisha yakiwagonga wasiende south
Kweli,kuna huyo mmoja habari zake zimeibuka wiki iliyopita, alikuwa akiwaua ndugu zake mmoja baada ya mwingine ili tu alipwe bima, anaua mmoja,analipwa bima, anakula,ikiisha anaua mwingine,na ni mwanamke, imagine,SA is real a shithole
 
Sung in Zulu)

Chorus:

uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)

Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears beloved, here it comes)

(Chorus)

Phezulu, eNkosiniKuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)

Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears off loved one, here it comes)

[emoji24][emoji24]

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Kitu cha kwanza nilichoona ni kua amepewa sumu kwakua trend ya kutoka wodini to icu and Mara mapafu then figo vyote vimeharibika hapo kuna shida kubwa sn and the only problem is a poison
 
Sung in Zulu)

Chorus:

uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)

Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears beloved, here it comes)
Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears beloved, here it comes)

(Chorus)

Phezulu, eNkosiniKuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)

(Chorus)

Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears off loved one, here it comes)
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Inasikitisha Sana.
Apumzike kwa amani.
 
Mwanamuziki zahara aliyetamba na wimbo wa loliwe..amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa figo kufeli,kulikosababishwa na unywaji wa pombe kupita kiasi.

Singer who played for Nelson Mandela at his home had been hospitalised with ‘physical pains’, and previously suffered liver damage from alcoholism

Ben Beaumont-Thomas

@ben_bt

Tue 12 Dec 2023 08.23 GMT

The South African pop singer Zahara, whose soaring voice and strident ballads earned her multiple platinum-selling albums in her home country, has died aged 35.

South Africa’s sports, arts and culture minister, Zizi Kodwa, announced her death, saying: “My deepest condolences to the Mkutukana family and the South African music industry.

Government has been with the family for some time now. Zahara and her guitar made an incredible and lasting impact in South African music.”

Last month, her manager, Oyama Dyosiba, confirmed she had been hospitalised “following complaints about physical pains”.

She had suffered liver disease after problems with alcoholism, confirmed by Dyosiba in 2019. Her sister Nomonde said that year doctors had told her, “if [Zahara] continues drinking, she is going to die … We are making sure that there is always someone around her to monitor her so that she doesn’t start drinking again”.

Born Bulelwa Mkutukana in 1987, Zahara was self-taught on guitar and broke through in 2011 with her debut album, Loliwe, a commercial hit that also won album of the year at the South African music awards.

She performed the title track for Nelson Mandela at his home before his death in 2013, and later wrote a tribute song with the lyrics: “Hero of heroes / There’s none like him.” That song, like the rest of her discography, was sung in a blend of Xhosa and English.
Duh!!
Huenda wenye hila wamepita humohumo..ionekane Tungi kumbe wakaweka vitu vyao..
 
Mwambie umeshsolewa..asikupotezee

Mudaa..
🤣🤣
Mi nimeshachukuliwaaaa, tena nampenda sana mchukuaji, so nafasi hakunaaa 🤣🤣🤣

Ila, kwakuwa alikuja na hoja ya mazungumzo binafsi sikuona kama ni sawa kuyaweka hapa, na nikudokeze tu yalikuwa binafsi kweli na haikuwa mimi bali juu ya rafiki yangu.
 
So anataka umpigie cross..!!?
 
Kweli,kuna huyo mmoja habari zake zimeibuka wiki iliyopita, alikuwa akiwaua ndugu zake mmoja baada ya mwingine ili tu alipwe bima, anaua mmoja,analipwa bima, anakula,ikiisha anaua mwingine,na ni mwanamke, imagine,SA is real a shithole
Ukoloni umewaachia Tabia za ajabuajabu
 
Back
Top Bottom