princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Ndiza ndio wimbo wangu bora kutoka kwa ZAHARASA.
NDIHABILE
NDIBONILE
NDIHABILE
NDIBONILE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndiza nilikua naionaga eatv miaka ya 2015 kama sikosei nikaipenda mpaka nikatafuta lyrics nikakariri yote huu kwangu naona ni mkali kuliko loliweBora nikaushe tu maana anaupenda hatari wala hatakagi kujua maana yake wala alie uimba... yeye nikuusikiliza kutwa
Wengine wanasema sumu tuanzie wapi?Mbona kwa habari nilizonazo pombe ndio chanzo? Alikuwa mlevi sana….
R.I.P
Hujawahi kuhudhuria harusi yeyote hapa bongo? sio rahisi uende kwenye harusi huo wimbo wa Loliwe usipigwe hasa wakati wa msosiMpaka sasa hakuna aliyeweka huo wimbo hapa ila kila mtu anasema ulikuwa mzuri.
Ngoja hata mimi nisioujua niseme " wimbo wa loliwe ulikuwa mzuri sana" The train is coming
Basi uwe unatembea uchiNo . Haya jibu swali kwani alizaliwa kafunika nywele?
Eeeh Mungu wangu ninavyompenda Zahara jamani! Apumzike kwa amani.
Nimekumbuka mbali[emoji27]Sung in Zulu)
Chorus:
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears beloved, here it comes)
Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears beloved, here it comes)
(Chorus)
Phezulu, eNkosiniKuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
(Chorus)
Sul’ezonyembezi mntakwethu, Sul’ezonyembezi mntakwethu (wipe those tears beloved)
Sul’ezonyembezi mntakwethu. Nang’esiza (wipe those tears off loved one, here it comes)
uLoliwe wayidudula, uLoliwe wayidudula (the train is pushing, the train is pushing)
uLoliwe wayidudula , Nang’esiza (the train is pushing , here it comes)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Phezulu, eNkosini, Kuhlal ‘ingcwele zodwa (in Heaven, in the Lord, lives only the holy)
Mawufuna ukuya khona, thandaza (if you want to go there, pray)
Bila shaka, niulize PM tafadhali.Bibie kuna kaswali personal naomba nikuulize!!
Basi uwe unatembea uchi
Ulizaliwa unàtype JF?Ulizaliwa ukiwa umefunika kichwa?
Ulizaliwa unàtype JF?
Ulizaliwa unàniuliza Hilo swali?Ulizaliwa ukiwa umefunika kichwa?
Ulizaliwa unàniuliza Hilo swali?
Mi sjazaliwa, niliotaUlizaliwa ukiwa umefunika kichwa?
Mi sjazaliwa, niliota