much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Sasa kwanini useme wapiganiji wa uchawi ndo wachawi ?Wachungaji Wakuu ndiyo wanaweza kuwa Mawakala wazuri sana wa Shetani, kwani hujui kuwa penye msafara wa mamba kenge wamo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini useme wapiganiji wa uchawi ndo wachawi ?Wachungaji Wakuu ndiyo wanaweza kuwa Mawakala wazuri sana wa Shetani, kwani hujui kuwa penye msafara wa mamba kenge wamo?
I am truly saddened by this uncalled for loss to Africa. I loved her voice really loved her.Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi.
Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35.
Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa wimbo wake "Loliwe".
Wimbo huu uliwahi kunisaidia katika nyakati ngumu.
To be honest with you. Taarifa ya kifo cha Zahara imefanya nafsi yangu iwe troubled kama nafsi ya Yesu ilivyokuwa troubled alipopewa taarifa za kifo cha rafiki yake Lazaro.
Asante Mungu kwa kuipa dunia zawadi ya kipaji kikubwa kama Zahara.
LALA NGOXOLO ZAHARA.
Update: Inadaiwa chanzo cha kifo chake ni multiple organ failure iliyo sababishwa na yeye kulishwa sumu na mmoja kati ya wanafamilia mara baada ya Zahara kutolewa mahari..
Taarifa nyingine inadai kwamba Zahara alilishwa sumu ya kichawi " muthi" kwenye chakula wakati ya sherehe ya kulipa mahari yake.
Duh kwamba kuna mwanafamilia alichukia kuona Zahara katolewa mahari? Just like that? Ooh please God protect your children from evil.
---
View attachment 2839995
Tasnia ya Burudani nchini humo imepata pigo lingine kutokana taarifa za kifo cha Mwimbaji Bulelwa Mkutukana maarufu Zahara (35) baada ya vifo vya AKA Februari 10, na CostaTitch, Machi 11, 2023.
Taarifa zimeeleza kuwa Kifo cha Zahara aliyetamba na nyimbo mbalimbali zikiwemo Loliwe' na Phendula kimetokea katika Hospitalini Jijini Johannesburg alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa takriban Wiki 2. Pia kuna taarifa kuwa maradhi hayo yalisababishwa na sumu aliyowekewa na mmoja wa Mwanafamilia katika Sherehe ya baada ya kutolewa Mahari.
Vyombo vya Habari nchi humo vimeripoti kuwa siku chache kabla ya Kifo cha Zahara, Dada zake walichukua Kadi zake za Benki na kwenda 'Shopping' huku ndugu yao akipigania uhai wake Hospitali.
Enzi za Uhai wake Zahara aliwahi kuja Tanzania Oktoba 2018 ambapo alitoa burudani Jukwaa moja na Juliana Kanyomozi wa Uganda, na LadyJayDee katika Tamasha la Vocals Night liliondaliwa na Lady JayDee.
Bora nikaushe tu maana anaupenda hatari wala hatakagi kujua maana yake wala alie uimba... yeye nikuusikiliza kutwa...hakuna namna, mpatie, machozi ni tiba na msibani hawazuiliwi kulia maana ndiyo namna bora ya kumsahau marehemu kwa mabaya yake na kuyaishi mazuri yake
Tusiamini mtu ?Dunia ilipofikia usimuamini mtu yoyote,jiamini mwenyew watu wabaya sana bora hata wanyama wana huruma
In Heaven, only holy lives, if you want to go, pray![emoji173][emoji173][emoji173]In Heaven, only holy lives, if you want to go, pray! Dah Loliwe, the train Is coming, the train Is coming..... hatimae yamekua, pumzika kwa Amani
Phezulu, eNkosini,Kuhlal'ingcwele soda. Mawufuya ukuya khona thandaza.In Heaven, only holy lives, if you want to go, pray![emoji173][emoji173][emoji173]
Sent using Jamii Forums mobile app
Destiny ndo wimbo wa kwanza kwangu pia kumfahamu huyu dada aisee [emoji24][emoji24][emoji24]Aiseee, huyu sister kafariki!? Mimi ni mmoja ya mashabiki zake wakutupwa. Apumzike salama Zahara. Destiny ni wimbo wangu bora kabisa kati ya nyimbo kali nyingi alizowahi kutoa.
RIP Zahara.
Only God knows how long it will take for me to reach my destiny.
View: https://youtu.be/DNrMHfSZisI?feature=shared
Binadam ni wabaya sana kuliko wanyama wakali,unacheka nao vizuri tu ila nyuma ya pazia ndo wanatamani wakutoe rohoo.Apumzike kwa amani uko alipo.Mbaya zaidi kuchukua cards za bank na kwenda shopping wakati mtu yupo hospitali![emoji24]
Duniani alijichetua chetua kwa Yesu mara asifunike nywele ....saivi anaenda kukutana na aliyemuumba ajibu (Allah)