TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

Apumzike mahali pema, loliwe niliupenda sana, ndugu wa kiafrika hawafai sina hamu na ndugu hasa katika ishu za kuolewa au kupiga hatua ndo huwa wachawi namba moja katika kuharibu,

Japo kuna mahala nimesoma kuwa alitopea kwenye ulevi wa pombe
 
Hicho KIJIKO unachokiona, baada ya kula kwa MKONO!

Ndoms unaiona, ukishafanya ngono!

Neno la kuponya, lililokosa mdomo!

Napata kumjua zaidi, tayari ameshakwenda lala!

Binafsi, ataendelea kuishi kwangu...kupitia wimbo wake wa "lolihwe"

Ni wimbo unaogusa hisia za binadamu yeyote .. mwenye moyo wa nyama!

A forever living song! LOLIHWE!... " ULTIMATELY THE TRAIN HAS COME TO PICK HER"

Do whatever good in this world and leave legacy! (Landmark!)

Lolihwe is a legacy and a landmark ... Like Zion
 
Kila siku zinavyoendelea nazidi tambua kumbe adui wa mtu ni wa karibu mno
Awezaye kujeruhi moyo, awezaye kukutesa
Awezaye kuumiza moyo
Awezaye kukuletea jeraha hatoki mbali, ni wa karibu mno.

Nilipoumizwa na mtu wa karibu mno, nikasema basi ni nani wa karibu nami,?
Ktk kufikiri hayo, nikajua Mungu pekeyake ni wa Karibu.
Nikajua kumbe wengi wameumizwa na watu wa karibu nikatiwa nguvu ya kuendelea.

Tunapomsoma Yesu kwamba alisalitiwa
Waliomsaliti ni wa karibu mno

Tunapomsoma Yusufu aliuzwa utumwani
Waliomuuza ni wa karibu mno

Tunapomsoma Habili kwamba Aliuawa
Aliyemuua ni wa karibu mno



Martha Mwaipaja_Njoo Yesu

View: https://youtu.be/YUTzNFo80Ic?si=CZDcN7764glZx4To
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]duuuuu
 
Dunia ilipofikia usimuamini mtu yoyote,jiamini mwenyew watu wabaya sana bora hata wanyama wana huruma,anyway RIP Zahara [emoji174]
 
Kwenye wimbo wa Loliwe anavyoshusha na kupandisha sauti ni uwezo wa kiwango cha juu mno.

Wameona kuolewa atafaidi sana bora wamuue.

Pumzika vyema Zahara, tutakukumbuka kwa wimbo wako hadi tutakapokufuata uliko.
 
Duh imekuaje tena! Kama ni kweli basi hii dunia INA Mambo mengi magnum.
Kwahio hatimae ule wimbo wake umetimia? Niliupenda Hadi nikatafuta maana ya mashairi yake, The Train Is coming, dah kwahio Treni imefika kwake? Loliwe
Kuna mwana juzi hapa alileta uzi hapa sikumbuki heading yake vizuri lkn alikuwa akipinga hisia za ya kwamba ukitajirika watu wako wa karibu wana kuchukia (kwamba siyo kweli) lkn hapa kwa ZAHARA wakati akipigania uhai ndunguze wakampokonya kadi za bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…