TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

Mchawi ndugu. Paka anatumwa tu
Kabisa mkuu..

Nina mashangazi,baba wadogo na watoto wao kwa uwazi kabisa na Kuwaitis kwa masikio yangu wananiombea nikwame,niishi maisha ya dhiki pengine hata nife jaman 🥹🥹🥹🥹🥹lakini Mungu si jirani yao anazidi kunisongesha mbele kwa mwendo wa tai
 
Huyo mleta uzi nahisi ule umri wa kujua ni bora kukutana na mnyama wakati wa usiku kuliko binadamu bado hajaufika na siku akiwajua binadamu atakuwa karudishwa nyuma sana
 
Pengine aliyemuua-kama ni kweli ni ndugu-basi alikuwa na kugombea mwanaume. The only situation which can make a woman murderous, is when she battles to keep a man in her possesion.

Apumzike kwa amani.
 
It must be the train was pushing so deep.
 
Pol
Pole sana.
Wakwepe kwa uwazi kabisa wala usifanye kwa kificho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…