Zahera amjibu manara

Zahera amjibu manara

Mwinyi ni msemaji wa klabu, kocha mtendaji au ni kocha?
.
Kocha mwenye CV ya maana hawezi kuwa kama huyo bogus.
kocha bogus in assistant coach was national team ya DRC angalia rank za FIFA DRC ni wangapi halafu jiulize bogus nani

kocha bogus timu inaongoza ligi

mbumbumbu fc mnapata tabu na zahera badala mjipange kumfunga vita
 
Yanga haongozi ligi! Kwa kuwa simba hajacheza mechi 27 tuna 20 tu kumbuka.
.
Zahera ni assistant coach wa DRC na wapo wawili hivyo yeye ni mpiga domo tu na ndio maana siku hizi DRC haina mafanikio katika soccer haishiriki AFCON wala nini ipoipo tu kama sisi Tanzania.
 
"Sio mara ya Kwanza huyo Manara kuongea vitu ya ovyo, mimi ni Mkongomani, mimi ni mwalimu wa timu ya Taifa , AS Vita ina wachezaji wanne national timu. . Kocha mkuu wa AS Vita ni kocha mwenzangu national team, Kiongozi wa msafara wa AS Vita ndiye kiongozi wa shirikisho la soka Congo ambalo ndio wameniajiri timu ya taifa hivyo ni kiongozi wangu. . huyo Manara kwa akili yake haoni umuhimu wa mimi kwenda kuwasalimia? eti kisa nimeajiriwa Tanzania huo ni upumbavu kabisa. . kipi ninachoweza kukichezesha ama kupanga nikiwa karibu yao. . kocha wa Vita ana video zaidi ya 16 za Simba. . ANAOGOPA NINI?? sasa huyu mpumbavu Haji Manara yeye ni nani mpaka asitake nisisalimiane na wachezaji wangu, viongozi wangu na mwalimu mwenzangu, ANAOGOPA NINI? nimeshindwa kwenda Iringa kwa kuwa timu ya Taifa inaingia kambini jumapili na kuanza mazoezi jumatatu. . ntarudi kutoka Iringa lini na ntakamata ndege lini ili niwasili Congo jumapili?"

- Mwinyi Zahera. (Kocha wa Yanga SC)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajji anachotaka soon atakipata
 
Tupe source acha kubwabwaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Zahera kafungwa na yanga yake na ulozi wote aliotoka nao kongo mjue wazi kuwa hao vitalo wanakaa hapahapa kwa mchina.
Ni mwendo wa masaa machache tu.Pia kumuajiri kocha aliyeajiriwa sehemu nyingine ni sawa na kuoa mwanamke ambaye ana mme tayari lazima atumike na waume wote wawili.
Lipuli ni timu ngumu yeye anatimka huku akijua yanga wanahitaji ushindi naona huu ni mzaha na dharau.Yanga wangekuwa na pesa asingewafanyia dharau grade hii.Ni kocha mzuri ila binafsi amenikwaza ingawaje si shabiki wa yanga.Mechi ya yanga ni mhimu yeye kuwepo timu ikifungwa atalaumiwa yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili sioni kosa lolote la yeye kuwa na Vita kwani Simba inatuhusu nini? mbona yeye ni Kocha wa Yanga na tuliwafunga. Manara aache kick za kijinga kwenye team kubwa kama Simba ni wakati wa team yangu kuwa na msemaji mwenye weledi ili kuenga team ipate heshima inayostahili. Unajuwa unaweza kuwa mtu mzima lakini ukianza kuongea matusi tu mbele ya watoto heshima huna. Simba inataka kwenda kuwa team kubwa Africa ili kwenda huko tuachane na mpira wa kizamani wa matusi na kuvunjiana heshima. Huwezi kusikia huko kwa wenzetu mtu anawakosea heshima wapinzani. Suala la kuwa msemaji hivi uliona wapi mpira wa huko juu msemaji wa team anaongea? Ni Manager/Kocha tu ndio anaongea interview wewe afisa habari na ratibu media behind the scenes. Manara amwache kocha aongee kuhusu team sio yeye mara Do or Die kocha kamkana. sio kazi yake kuuza sura akae nyuma kocha ndio anaongelea team. Mimi nadhani ni Tanzania tuna system hii.
 
Back
Top Bottom