kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Mimi naangalia kwa upande mwingine hivi yanga ingecheza na vita au angeenda kwakuwa yeye ni mkongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sheria gani kaivunja?Mwinyi ZAHERA hajatamka popote kusema.
"Haji Manara ni Mpumbavu"
Mtoa mada uwe na busara kwenye mada zako.
Zahera kwenda kuwasalimia wachezaji wa AS Vita, ni haki yake na sio kosa kimichezo, Vita ni timu yake pia kama timu ya Nchini kwake na ni Ndugu zake pia.
Kosa analolifanya Zahera ni kuisemasema timu ya Simba na kuisingizia mambo ya kizushi bila ithibitisho.
Zahera ajikite kwenye kazi yake iliyomleta ya kuifundisha timu ya Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini nyie msijikite kwenye mechi??Jikite kwenye Mada ndg kuwa zeruzeru si dhambi or criminal, huyo Zahera unayemsifia anawahaadaa yanga ksb anawachangia yaani Yanga anacheza na Lipuli yeye anawaambia anaenda Congo kumbe Yupo kambini kwa as Vita kisa eti assistant coach wa Congo?? Ngoja mfungwe na Lipuli leo, pia Akilimali mlimzushia kisukari kapiga push up Jana yuko fiti mpeni uwenyekiti wa club
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili neno 'sope' umenikumbusha mbali Sana! Anyway maneno ya Manara ni siasa za mpira tu.kwanini nyie msijikite kwenye mechi??
Zahera anawahusu nn??
Wewe hujui mechi za team ya taifa zinaaanza soon
Mwisho kabisa manara ni zeruzeru na haiondoi uhalisia kuwa yeye ni sope!
Kwa kuwa tu mna mechi basi watu wasiendelee na shughuli zao!
Kapimwe akili ww na yule zeruzeru mwenzio!
Hahaha si ni kwenye kile kitabu cha TAKADINI mkuu??Mkuu hili neno 'sope' umenikumbusha mbali Sana! Anyway maneno ya Manara ni siasa za mpira tu.
Tukutane SAA moja kwa mkapaHaji mpumbavu sana. Kwani Zahera kuwa na AS Vita yeye inamuuma nini? Kwani Zahera kaajiriwa na Simba. Yaani Haji anabore mpaka anapitiliza.
Nyie subirini mfungwe na lipuli ndio akili zitawarudi, wenzenu wameingiza timu mbili caf badala ya tusapotiane ili tuwe na mbili mnaleta za kuleta, hata mtoto mdogo anajua kabisa nini anachokifanya huyo kocha wenu.Jamani Simba tunawakumbusha ,wakati Lyon akijiandaa kucheza na Yanga,kocha wenu msaidizi na Niyonzima walienda kuwatembelea Lyon au mmesahau.
\View attachment 1046980.
Kwa nini nyie mbona hamkulitambua hilo,wakati Yanga ikicheza na Lyon.Nyie subirini mfungwe na lipuli ndio akili zitawarudi, wenzenu wameingiza timu mbili caf badala ya tusapotiane ili tuwe na mbili mnaleta za kuleta, hata mtoto mdogo anajua kabisa nini anachokifanya huyo kocha wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app